figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Serikali kupitia upya mikataba ya viwanda vyote vilivyobinafsishwa
walipewa kingmaker akina rosttamu kiwanda cha ngozi mza kauza machine zote halafu majengo yana tumika kama godown nashauri anyanganywe kiwanda hiki na serikali ikifufue ngozi zipo nyingi mza.
Why tunanunua viatu vingi nje...tunapoteza forex
Viongozi Tanzania ni walaghai kwenye majukwaa.... Kwa vitendo hawawezi
Viwanda vinakufa kwa sababu ya gharama za uendeshaji....Umeme ghali, gesi ya Mtwara ghali na haijafika viwandani...Kodi nyingi....Hapo Mpango, Muhongo na Mwijage wanahusika
kama watanzania tunafanya je? hapo maana wapinzani nao hawako serious kiasi cha kupewa utawala.
ZZK - Mbeya
Sungura Tex
General Tyre
Philips radio
Kibo Match
Machine Tools Kilimanjaro
etc etc etc etc
Viwanda vya Nyama
Nini kiliua hivi viwanda?
Je Hayo Matatizo yameondolewa?
Hayo matatizo yaliyoua viwanda hayapo sasa?
Walio sababisha matatizo kamwe hawawezi kupata suluhisho...Non sense
ZZK - Mbeya
Sungura Tex
General Tyre
Philips radio
Kibo Match
Machine Tools Kilimanjaro
etc etc etc etc
Viwanda vya Nyama
Nini kiliua hivi viwanda?
Je Hayo Matatizo yameondolewa?
Hayo matatizo yaliyoua viwanda hayapo sasa?
Mang'ula Machine Tools
Moproco
UFI
TANCUT
Tanga Fertilizers Company