technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,510
- 51,100
Nchi kama imefirisika si tuambiwe tu tujipange kila siku kukopa kopa juzi tumetoka kutangaza kukopa bilioni 360
Kuna nini nyuma ya pazia ?
Mapato ya mwezi November wapi?Mh.Zitto......Salaam,hofu ondoa..Uchumi wetu ni mzuri saana na unakuwa kila siku.Taarifa unazozihitaji zitawekwa very soon na nina kuhakikishia zitakuwa ni za kweli na hazitakanushwa.
Hatakuwi kuogoppaNdaru anaogopa ya dr Mwele yasije yakamkuta. Hivyo bado tunahakiki mapitio ya uchumi kama yatamfurahisha mtakatifu
Uchumi uko vizuri....watu moshi wanaenda....mbuzi zinaliwa.....data zipo....zote za kuanzia October hadi November... na zote znaonesha kwamba uchumi unakua kwa kasi ( huenda haya yakawa ndio majibu ya boss wa BOT)
Manyerere Jackton Mwanahabari Huru Balile nyinyi kama waandishi hebu hojini kuhusu hili.hivi TRA walitangaza mapato ya mwezi November?
Nyuma ya pazia serikali haina pesa kabsa baada ya Lipumba kukomba zote kwa ajili ya kuzitumia kuua CUF na kudhoofisha ukawa na pesa ambayo inakuja ni kwa ajili ya kununua ndege na kujenga uwanja wa ndege Chato na zingine zitatumika kujenga ikulu Dodoma na nyumba za wafanyakazi. Pesa ya MCC ndiyo kiini cha serikali kuanza kukopa.
Nchi kama imefirisika si tuambiwe tu tujipange kila siku kukopa kopa juzi tumetoka kutangaza kukopa bilioni 360
Kuna nini nyuma ya pazia ?
Pesa zote zinaliwa na lipumba kujenga uwanja wa ndege chato na kununua ndege huku Safari ya Dodoma ikikwama, wanakopa kwa ajili ya nini?wakati Hosptal hakuna Dawa mikopo kwa wanafunzi shida .Jiongeze kidogo, hakuna nchi isiyo kopa. Mabenki yanakopa, wafanyabiashara wakubwa kwa wadogo wanakopa watubinafsi wanakopa.
Usiogope kukopa kwakua fedha zinazokopwa na serikakali zinatumika kwamiradi ya humuhumundani namwishowasiku wanao nufaika ni wananchi wenyewe