Serikali kupitia BOT wanaficha nini? Kwanini hawatoi ripoti za uchumi za mwezi?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,841
603255582949b52e39db0c2b008ab5a9.jpg

Nchi kama imefirisika si tuambiwe tu tujipange kila siku kukopa kopa juzi tumetoka kutangaza kukopa bilioni 360

Kuna nini nyuma ya pazia ?
 
  • Thanks
Reactions: Nio
Mh.Zitto......Salaam,hofu ondoa..Uchumi wetu ni mzuri saana na unakuwa kila siku.Taarifa unazozihitaji zitawekwa very soon na nina kuhakikishia zitakuwa ni za kweli na hazitakanushwa.
 
Uchumi uko vizuri....watu moshi wanaenda....mbuzi zinaliwa.....data zipo....zote za kuanzia October hadi November... na zote znaonesha kwamba uchumi unakua kwa kasi ( huenda haya yakawa ndio majibu ya boss wa BOT)
 
603255582949b52e39db0c2b008ab5a9.jpg

Nchi kama imefirisika si tuambiwe tu tujipange kila siku kukopa kopa juzi tumetoka kutangaza kukopa bilioni 360

Kuna nini nyuma ya pazia ?
Nyuma ya pazia serikali haina pesa kabsa baada ya Lipumba kukomba zote kwa ajili ya kuzitumia kuua CUF na kudhoofisha ukawa na pesa ambayo inakuja ni kwa ajili ya kununua ndege na kujenga uwanja wa ndege Chato na zingine zitatumika kujenga ikulu Dodoma na nyumba za wafanyakazi. Pesa ya MCC ndiyo kiini cha serikali kuanza kukopa.
 
Jiongeze kidogo, hakuna nchi isiyo kopa. Mabenki yanakopa, wafanyabiashara wakubwa kwa wadogo wanakopa watubinafsi wanakopa.
Usiogope kukopa kwakua fedha zinazokopwa na serikakali zinatumika kwamiradi ya humuhumundani namwishowasiku wanao nufaika ni wananchi wenyewe
 
Hali ni tete hata wizara ya mambo ya nje wanalia njaa balozi huko nje wengi wanadaiwa pango za nyumba Ofisi za balozi zina njaa kali wanaishi kama mashetani alivyowahi kusema mkulu, mpaka kufika mwezi wa sita huenda wafanyakazi wengi kwenye balozi za Tanzania nje wakarejeshwa home na kubakia wachache sana.
 
Jiongeze kidogo, hakuna nchi isiyo kopa. Mabenki yanakopa, wafanyabiashara wakubwa kwa wadogo wanakopa watubinafsi wanakopa.
Usiogope kukopa kwakua fedha zinazokopwa na serikakali zinatumika kwamiradi ya humuhumundani namwishowasiku wanao nufaika ni wananchi wenyewe
Pesa zote zinaliwa na lipumba kujenga uwanja wa ndege chato na kununua ndege huku Safari ya Dodoma ikikwama, wanakopa kwa ajili ya nini?wakati Hosptal hakuna Dawa mikopo kwa wanafunzi shida .
 
Back
Top Bottom