Jamani samani zetu zina walakini sana, quality yake ni mbovu sana especially zile za keko pale:frusty:, mtoto akiruka mara mbili tu kwenye kiti basi kochi linabomoka na unakumbana na uchafu uliojazwa ndani humo. Siungi mkono hili swala la kununua samani nje lakini wangejitaidi kuwapa ujuzi vijana wetu kwa kutengeneza vitu vyenye ubora
Samani zao zinawalakini kwasababu soko lao bado ni dogo.Serikali ikiwawekea guarantee kwenye mikopo ya kununua Nyenzo na kununua samani kutoka kwao baada ya muda kuna ambao watatengeneza nzuri kama hizo zinazotoka Malaysia au Dubai.Lakini tukiendelea kusema kwamba zinawalakini after a few years tutaanza kununua kutoka Kenya zenye kiwango sawa na hizo zinazitoka Italy.Jamani samani zetu zina walakini sana, quality yake ni mbovu sana especially zile za keko pale:frusty:, mtoto akiruka mara mbili tu kwenye kiti basi kochi linabomoka na unakumbana na uchafu uliojazwa ndani humo. Siungi mkono hili swala la kununua samani nje lakini wangejitaidi kuwapa ujuzi vijana wetu kwa kutengeneza vitu vyenye ubora
Ni nini samani ??? Kidogo naomba upembuzi yakinifu kuhusu huo msamiati uliotumia sikumbuki kukutana nao nilipokuwa shule pale Kirare !!
Aibu hiko pale Wageni wanapolinganisha ofisi ya Pinda au za Bunge na maisha ya Mtanzania anayeishi Kijijini.usanii kila sekta!! ukisema tutumie thamani za bongo itakuwa aibu; labda kidogo zitoke mikoani si viwanda vya hapa dsm wizi mtupu
Pale mwenge karibu na Efatha ministry kuna kampuni inaitwa maridadi unaweza tembelea show room yao, inatengeneza high quality furniture ila ndo hivo tena bei yake ni noma kwa akina yakheHivi hakuna makampuni yanayotengeza fanicha hapo bongo? Nashangaa sana, tunauza logs (magogo) China then tunaenda kununua fenicha aibu hii. Hivi VETA, wawekezaji wa ndani, workshop za Serikali/Halmashauri, mashirika ya dini na watu binafsi wameshindwa kuanzisha viwanda vya fenicha? Aibu hii
Jamani samani zetu zina walakini sana, quality yake ni mbovu sana especially zile za keko pale:frusty:, mtoto akiruka mara mbili tu kwenye kiti basi kochi linabomoka na unakumbana na uchafu uliojazwa ndani humo. Siungi mkono hili swala la kununua samani nje lakini wangejitaidi kuwapa ujuzi vijana wetu kwa kutengeneza vitu vyenye ubora
Nilipokuwa jeshini tulikuwa tnatengeza samani nzuri sana kule Chang'ombe.
Ni wajibu wa serikali kukuza products za nchini badala ya kukuza za nje:
Serikali ya Japan haitumii bidhaa yoyote iliyotengezwa na kiwanda kilicho nje ya japan, unless Japan haina kiwanda cha aina hiyo.
furniture, Tool, Utensil...!Ni nini samani ??? Kidogo naomba upembuzi yakinifu kuhusu huo msamiati uliotumia sikumbuki kukutana nao nilipokuwa shule pale Kirare !!