Serikali kulipa madai ya Watumishi wa Umma, yatalipwa February pamoja na mshahara! Soma hapa majina..


Serikali inatufanyia usanii wa hali ya juu,kama uhakiki ni kukata baadhi ya majina basi sawa.kama hiyo ndio orodha nimesikitika sana na kukatishwa tamaa na hii serikali.
 
Kwahyo unataka kutuambia hao watumishi 27,389 ni wapiga kura wa jimbo la kinondoni mpaka serikali iwahadae kwa malipo ya stahiki zao?
 
Hakuna uwazi,watumishi wengi hawajui kama Taarifa zao zilipelekwa ili walipwe.Mambo mengi yalisimama halafu et ghafla malipo.Wangewashirikisha watumishi kwanza kujua kama taarifa za madai yao zimetumwa.
 
Acha kuhamisha magoli wewe karai,unadai daraja nenda rufiji kuna daraja la kilometa moja,kazi hamfanyi mpo bize na mambo binafsi,watoto wanafeli kila siku
Karai ni ukubwa wa shimo la mama yako ulikotokea,kama wanafeli wewe umefanya nini?sho.ga wewe.
 
Mkuu hicho kidogo utakachopata kula na nduguzo
 
Hayo huenda si madeni yote yanayodaiwa,binafsi ninadai mapunjo ya mshahara kwa miezi minane,lakini tuliambiwa kuwa madeni ya mishahara hayaandikiwi madai,kuwa mapunjo ya mishahara yanaingizwa moja kwa moja
Kwenye mishahara bila kuandika malalamiko kwa kuwa system inazo kumbukumbu.

Chakushangaza kwenye uhakiki uliofanyika wilayani kwetu walihakiki madeni yasiyo maishahara,yaani Likizo,Matibabu nk lkn msimamo uliendelea kuwa madeni ya mshahara huwa yanaingizwa moja kwa moja,lkn chakushangaza jina langu si miongoni mwa watakaolipwa,yaani halipo kwenye hiyo orodha iliyohakikiwa.

Nisaidieni wadau,tutalipwa automatic au ndio tumekosa haki zetu,na tupo wengi wenye maelezo kama ya Kwangu.

Ufafanuzi tafadhali
 
Mbona baadhi ya majina yamejirudia?. Idadi ya wote itakuwa imepungua. Idadi kubwa zaidi ya 80000 watakuwa kwenye hali ya masikitiko. Naamini watayatolea ufafanuzi mzuri. TUNAISHUKURU SEREKALI KWA KUTUJALI. NI HATUA NZURI NA YA KUPONGEZA.
 
Orodha ya majina inaonesha ni malimbikizo ya mishahara , ni Vipi kuhusu madai mengine Kama Likizo,uhamisho,posho ya kujikimu n.k? AMA nayo itakuwa na orodha inayojitegemea au ndiyo mambo ya Viwonder!!!!!

Kuna wengi hewani hata kwenye hayo malimbikizo ya mishahara. Mimi ni mmoja wao.
 
Mkuu inauma sana, sisi tuko km saba hv tulipandishwa mara ya kwanza hatukulipwa tukapandishwa tena hatukulipwa, tukaambia madai ya mshahara tusijaze yatalipwa automatic( hayo madeni ya kwanza tulijaza form mara mbili mbili). Lakini wote majina yetu hayamo. Yaani hatujui tufanyaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…