Itawabidi Wawanunulie Wachezaji Wo Life Jackets Sababu wanaishi eneo Hatari Duniani Ile Club wangemkabidhi Mengi wangekuwa Juu Sana Wangewatafuta Vilaza wenzao Wawauzie Eneo hilo japo Sidhani kama Sheria hizi Zetu Wana Hati Miliki Kweli...Yanga unawaonaje? wote ni vilaza..balantanda unamuona kuwa ni mzima? hahahha juzi tu wamepigwa na zazam 2 kwa nunge hhahahaha yanga bhana wanachekesha kweli kweli
Yanga unawaonaje? wote ni vilaza..balantanda unamuona kuwa ni mzima? hahahha juzi tu wamepigwa na zazam 2 kwa nunge hhahahaha yanga bhana wanachekesha kweli kweli
Wa kwenu uko wapi?,kwa taarifa yako hilo jengo mpaka leo linahifadhi manusura zaidi ya 600 wa mafuriko....Hahaaaaaaaaaaaaaa.............Mtani bana.....Uwanja utajengwa hapo hapo.....ni ukuta tu ndo umeanguka lakini uwanja haujaathirika wala nini....Ule uwa ja wa Rage umefikia wapi???......Yanga unawaonaje? wote ni vilaza..balantanda unamuona kuwa ni mzima? hahahha juzi tu wamepigwa na zazam 2 kwa nunge hhahahaha yanga bhana wanachekesha kweli kweli
Duh hapo sasa nimekubali Yanga Vilaza Uwanja ujengwe hapo hapo duh!Wa kwenu uko wapi?,kwa taarifa yako hilo jengo mpaka leo linahifadhi manusura zaidi ya 600 wa mafuriko....Hahaaaaaaaaaaaaaa.............Mtani bana.....Uwanja utajengwa hapo hapo.....ni ukuta tu ndo umeanguka lakini uwanja haujaathirika wala nini....Ule uwa ja wa Rage umefikia wapi???......
Watu wanajenga bharini itakuwa Jangwani bana.......Teh teh......Duh hapo sasa nimekubali Yanga Vilaza Uwanja ujengwe hapo hapo duh!
Wanajenga baharini lakini sio kwenye Mkondo wa bahari Sasa hapo Jangwani ni Mkondo wa maji uelekeao Baharini na maji ya kwenye Mkondo hayana tabia ya kucheka na chochote kilicho mbele.. Bala Kuwa Makini na Yanga haina uwezo huo wa kuweka level uwanja uwe sawa na jengo labda waombe pageuzwe Dampo kwa miaka kadhaa pajae ndipo wajenge .... Katika Yanga nzima hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kutoa fungu la kujenga uwanja eneo hilo labda muahishwe nje ya jijiWatu wanajenga bharini itakuwa Jangwani bana.......Teh teh......