Serikali Kuiondoa Club ya Yanga Kinguvu Jangwani..? Uwanja Wao Wapotea!!!

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
http://millardayo.com/wp-content/uploads/2011/12/flavi-61.jpgHivi Huu Uwanja waliununua au Walipewa Bure? hawa Wana Wa Jangwani Jangwa lenye Mafuriko?
Je Manji Ataujenga Upya? Serikali isiwaachie wala kuwaonea Huruma Wahamishe Club yao..
Kama Serikali ikifyata kwa Sababu zisizo elewekaKuwaondoa hapo Walipo na Kuwapa Eneo Lingine Salama,basi Nawashauri Wana Yanga Wawe Wanachukua Tahadhari Kubwa Sababu eneo walilopo ni la Hatari na Ukiwekeza Mwisho wa Siku ni Hasara tu Wawe wanaweka na Bima (Insurance) Ni Muhimu Sana Sasa hali ishatokea wataanza kutembeza Bakuri kona Zote Wajengewe Uwanja.....!

http://millardayo.com/wp-content/uploads/2011/12/flavi-61.jpg
 
Hiyo Maji Ikikaa Wiki Mbili Goma linaenda Down na Kisheria inatakiwa kujenga Nyumba baada ya Mita Kadhaa so Jengo la Yanga Pengine linaweza Kumezwa lote au Likabaki Mita chache tu Jambo la Heko Wahame tu Hapo....
 
Yanga unawaonaje? wote ni vilaza..balantanda unamuona kuwa ni mzima? hahahha juzi tu wamepigwa na zazam 2 kwa nunge hhahahaha yanga bhana wanachekesha kweli kweli
 
Yanga unawaonaje? wote ni vilaza..balantanda unamuona kuwa ni mzima? hahahha juzi tu wamepigwa na zazam 2 kwa nunge hhahahaha yanga bhana wanachekesha kweli kweli
Itawabidi Wawanunulie Wachezaji Wo Life Jackets Sababu wanaishi eneo Hatari Duniani Ile Club wangemkabidhi Mengi wangekuwa Juu Sana Wangewatafuta Vilaza wenzao Wawauzie Eneo hilo japo Sidhani kama Sheria hizi Zetu Wana Hati Miliki Kweli...

Wangeenda Kununua Club ya Pan African Ndugu zao Wa Kale waishi wote tena Au Watafute Kifusi waweke level uwanja na Jengo vilingane...

Hii ndio Yanga Luninga Majuzi kati kweli Walichapwa Kinoma Na Azam Ramba Ramba Tena Ngassa Aliwatia Goli Pia
 
Yanga wakishirikiana na Wazee wa gerezani ndio walioleta uhuru tanganyika-kwa hiyo gharama za jengo na uwanja mpya serikali italipa
 
Hao Wazee kama Yanga na Wa Gerezani ambao walikuwa Vilaza hawakuweza kudai uhuru bali walikuwa na mawazo tu kuwa siku moja watakuwa huru wapate Mkoloni Mweusi Nyerere alikuwa na wakti Mgumu akashindwa kuwaweka Serikalini Mtu hajui hata kuandika Jina lake Nyerere alishindwa kuwaweka Juu Uhuru wa Nchi hii Ulianzia kwa Wapiganaji wa Mikoa Mingine na Si Wanywa Kahawa Vijiweni na Kucheza Bao Kila Siku....

Ukitaka Kujua SerikaliLeelege Itawaacha hawa Ndala Ndefu
 
Uwanja pekee ndio uko bondeni...inabidi hata hivyo wajiandae kutafuta uwanja wao...hata mkuranga hivi au bunju...ile ibakie kitega uchumi kama hotel hivi!
 
hahahhahha hawa ni vilaza yaani maeneo kibao yalikuwa wazi wao wakachagua bondeni.ahahha..bangi hizi jamani
 
Hilo Jengo la Kijani ndio lile la Ofisi za Mafisadi? Wengine hatujawahi kufika D'slamu tupo Tanga kwa hiyo hatujawahi kuziona hizo ofisi za Mafisadi. Tukiona rangi kama hizo huku kwetu Tanga huwa tunakimbia tusije kuuzwa na ardhi zetu. Bora wakae hukohuko
 
Yanga unawaonaje? wote ni vilaza..balantanda unamuona kuwa ni mzima? hahahha juzi tu wamepigwa na zazam 2 kwa nunge hhahahaha yanga bhana wanachekesha kweli kweli

khaa mtani yamekuwa hayo! yawezekana manji ana mpango wa kufuga samaki hapo baada ya kuona club ipo ipo tuu
 
Yanga unawaonaje? wote ni vilaza..balantanda unamuona kuwa ni mzima? hahahha juzi tu wamepigwa na zazam 2 kwa nunge hhahahaha yanga bhana wanachekesha kweli kweli
Wa kwenu uko wapi?,kwa taarifa yako hilo jengo mpaka leo linahifadhi manusura zaidi ya 600 wa mafuriko....Hahaaaaaaaaaaaaaa.............Mtani bana.....Uwanja utajengwa hapo hapo.....ni ukuta tu ndo umeanguka lakini uwanja haujaathirika wala nini....Ule uwa ja wa Rage umefikia wapi???......
 
yanga ni serikali, so hakuna wa kuwaondoa hapo. Wakitoka hapo ina maana na jina la jangwani life kitu ambacho ni imposibo
 
yanga daima mbele nyuma mwiko.nyie waarabu wala halua wa simba mbona hamna uwanja, halafu mnajiita timu.yanga timu ya serikali bwana!!sasa nawashangaa nyie watumwa mliokosa uzalendo na kuanza kuwakejeli mabingwa wa tanzania bara na visiwani.ha ha ha !!
 
Wa kwenu uko wapi?,kwa taarifa yako hilo jengo mpaka leo linahifadhi manusura zaidi ya 600 wa mafuriko....Hahaaaaaaaaaaaaaa.............Mtani bana.....Uwanja utajengwa hapo hapo.....ni ukuta tu ndo umeanguka lakini uwanja haujaathirika wala nini....Ule uwa ja wa Rage umefikia wapi???......
Duh hapo sasa nimekubali Yanga Vilaza Uwanja ujengwe hapo hapo duh!
 
Watu wanajenga bharini itakuwa Jangwani bana.......Teh teh......
Wanajenga baharini lakini sio kwenye Mkondo wa bahari Sasa hapo Jangwani ni Mkondo wa maji uelekeao Baharini na maji ya kwenye Mkondo hayana tabia ya kucheka na chochote kilicho mbele.. Bala Kuwa Makini na Yanga haina uwezo huo wa kuweka level uwanja uwe sawa na jengo labda waombe pageuzwe Dampo kwa miaka kadhaa pajae ndipo wajenge .... Katika Yanga nzima hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kutoa fungu la kujenga uwanja eneo hilo labda muahishwe nje ya jiji
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom