Serikali kufuta Ada elekezi, nini implication yake?

Arsenalist

Member
Oct 4, 2013
74
46
Jamani nimeona gazeti la mtanzania la Leo 5/1/2017 limeandika kuwa serikali imefuta Ada elekezi. Nini implication ya hili???
 
Ulisoma sehemu yote ya taarifa hiyo au just a sub-title, ngonja Na Mm nilitafute kwanza
For real ni subtitle pekee. Lakini pia kuna gazeti jina nimelisahau linaongelea juu ya wenye shule binafsi kutaka malipo awamu mbili pekee na si tatu au nne kama ilivyokuwa awali
 
Mimi naona shule binafsi ziwe huru siyo kuingiliwa na serikal katika maamuzi na utendaji kwasababu zinasaidia sana katika maswala ya kuongeza ajira kwa waitimu wa vyuo na kuongeza watu mbalimbali wenye kada tofauti.
Serikal pokea tax kutoka while za private ila siyo kutaka kuziaribu ili zenu zionekani zina viwango.
 
Back
Top Bottom