Ngara to Shy
Member
- Feb 14, 2021
- 34
- 53
CHADEMA watanuna huko walikoUwanja wa ndege Chato kuboreshwa
Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Geita, Japherson Nnko amesema, wanatarajia kuuboresha zaidi uwanja wa ndege wa Chato uliopo mkoani humo kwa kuuwekea uzio na kisha taa za kuongozea ndege.
Uwanja wa huujui? Ni barabara kama zilivyo barabara zingine ila wenyewe ni barabara za ndege.Au neno uwanja wa ndege ndilo linakubabaisha?Tanroads wanahusikaje na viwanja vya ndege?
Anayetakiwa kuusemea ni mamlaka ya viwanja vya ndege au mjenzi wa viwanja? Kuna mmiliki na mkandarasi.Uwanja wa huujui? Ni barabara kama zilivyo barabara zingine ila wenyewe ni barabara za ndege.Au neno uwanja wa ndege ndilo linakubabaisha?
TANROADS wanashughulika na barabara au hujui hilo?
Mamlaka ya viwanja vya ndege haihusiki na ujenzi inahusika na viwanja vilivyokwisja kamilika wao ni operators sio contractorsAnayetakiwa kuusemea ni mamlaka ya viwanja vya ndege au mjenzi wa viwanja? Kuna mmiliki na mkandarasi.
Anayevimiliki ni nani?Mamlaka ya viwanja vya ndege haihusiki na ujenzi inahusika na viwanja vilivyokwisja kamilika wao ni operators sio contractors
Serikali kupitia TBAAnayevimiliki ni nani?
Hapo sasa; ndo mjinga aliwaaminisha wajenge, Mfugale alipokuja kuulizwa hili swali akafa mara mojaTanroads wanahusikaje na viwanja vya ndege?
Uwanja wa ndege Chato kuboreshwa.
Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Geita, Japherson Nnko amesema, wanatarajia kuuboresha zaidi uwanja wa ndege wa Chato uliopo mkoani humo kwa kuuwekea uzio na kisha taa za kuongozea ndege.
Akizungumza na TBC mkoani Geita Nnko amesema, kibali cha kuuwekea taa za kuongozea ndege uwanja huo kimetolewa, lakini masharti ya Shirika la Kimataifa la Viwanja vya Ndege yanataka kabla ya kufunga taa kuwekwe uzio kuzunguka uwanja mzima.
Amesema maboresho kadhaa yanafanyika katika uwanja huo wa ndege wa Chato ili kukidhi vgezo vya kimataifa ikiwa ni pamoja na kujenga eneo maalum la kuegesha gari la zimamoto.
Meneja huyo wa TANROADS mkoa wa Geita ameongeza kuwa wataendelea na uboreshaji wa kiwanja hicho ili kuruhusu ndege zaidi kutua na kutoa huduma za usafiri wa anga kutokea katika uwanja huo.
Kwa hiyo kilijengwa mwanzoni wakitumia viwango gani? Kupata sifa tu kuwa kuna uwanja wa ndege, kumbe ulikuwa ni uwazi unaotumiwa sivyo ndivyo! Bora uwanja na si uwanja Bora, hulka ya Tz kila kitu kipo chini ya viwango. Unatengeneza makisio ya gharama (budget), kwanini hufanyi ili upate kitu kilicho kamili?Uwanja wa ndege Chato kuboreshwa.
Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Geita, Japherson Nnko amesema, wanatarajia kuuboresha zaidi uwanja wa ndege wa Chato uliopo mkoani humo kwa kuuwekea uzio na kisha taa za kuongozea ndege.
Akizungumza na TBC mkoani Geita Nnko amesema, kibali cha kuuwekea taa za kuongozea ndege uwanja huo kimetolewa, lakini masharti ya Shirika la Kimataifa la Viwanja vya Ndege yanataka kabla ya kufunga taa kuwekwe uzio kuzunguka uwanja mzima.
Amesema maboresho kadhaa yanafanyika katika uwanja huo wa ndege wa Chato ili kukidhi vgezo vya kimataifa ikiwa ni pamoja na kujenga eneo maalum la kuegesha gari la zimamoto.
Meneja huyo wa TANROADS mkoa wa Geita ameongeza kuwa wataendelea na uboreshaji wa kiwanja hicho ili kuruhusu ndege zaidi kutua na kutoa huduma za usafiri wa anga kutokea katika uwanja huo.
Kama jpm alishindwa kuujenga vizuri uwanja wa chato basi si rahisi ukajengwa vizuri na mtu mwingine.Uwanja wa ndege Chato kuboreshwa.
Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Geita, Japherson Nnko amesema, wanatarajia kuuboresha zaidi uwanja wa ndege wa Chato uliopo mkoani humo kwa kuuwekea uzio na kisha taa za kuongozea ndege.
Akizungumza na TBC mkoani Geita Nnko amesema, kibali cha kuuwekea taa za kuongozea ndege uwanja huo kimetolewa, lakini masharti ya Shirika la Kimataifa la Viwanja vya Ndege yanataka kabla ya kufunga taa kuwekwe uzio kuzunguka uwanja mzima.
Amesema maboresho kadhaa yanafanyika katika uwanja huo wa ndege wa Chato ili kukidhi vgezo vya kimataifa ikiwa ni pamoja na kujenga eneo maalum la kuegesha gari la zimamoto.
Meneja huyo wa TANROADS mkoa wa Geita ameongeza kuwa wataendelea na uboreshaji wa kiwanja hicho ili kuruhusu ndege zaidi kutua na kutoa huduma za usafiri wa anga kutokea katika uwanja huo.
Una faida gani ? Tusipoteze2fedha mradi ya kijinga tu kama hiyo .....mradi ya ubinafsi hatutakiKama jpm alishindwa kuujenga vizuri uwanja wa chato basi si rahisi ukajengwa vizuri na mtu mwingine.
Ni Jambo jemaUwanja wa ndege Chato kuboreshwa.
Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Geita, Japherson Nnko amesema, wanatarajia kuuboresha zaidi uwanja wa ndege wa Chato uliopo mkoani humo kwa kuuwekea uzio na kisha taa za kuongozea ndege.
Akizungumza na TBC mkoani Geita Nnko amesema, kibali cha kuuwekea taa za kuongozea ndege uwanja huo kimetolewa, lakini masharti ya Shirika la Kimataifa la Viwanja vya Ndege yanataka kabla ya kufunga taa kuwekwe uzio kuzunguka uwanja mzima.
Amesema maboresho kadhaa yanafanyika katika uwanja huo wa ndege wa Chato ili kukidhi vgezo vya kimataifa ikiwa ni pamoja na kujenga eneo maalum la kuegesha gari la zimamoto.
Meneja huyo wa TANROADS mkoa wa Geita ameongeza kuwa wataendelea na uboreshaji wa kiwanja hicho ili kuruhusu ndege zaidi kutua na kutoa huduma za usafiri wa anga kutokea katika uwanja huo.
Ujuaji wa Magufuli bora uwanja huo ungejengwa geita mjiniUwanja wa ndege Chato kuboreshwa.
Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Geita, Japherson Nnko amesema, wanatarajia kuuboresha zaidi uwanja wa ndege wa Chato uliopo mkoani humo kwa kuuwekea uzio na kisha taa za kuongozea ndege.
Akizungumza na TBC mkoani Geita Nnko amesema, kibali cha kuuwekea taa za kuongozea ndege uwanja huo kimetolewa, lakini masharti ya Shirika la Kimataifa la Viwanja vya Ndege yanataka kabla ya kufunga taa kuwekwe uzio kuzunguka uwanja mzima.
Amesema maboresho kadhaa yanafanyika katika uwanja huo wa ndege wa Chato ili kukidhi vgezo vya kimataifa ikiwa ni pamoja na kujenga eneo maalum la kuegesha gari la zimamoto.
Meneja huyo wa TANROADS mkoa wa Geita ameongeza kuwa wataendelea na uboreshaji wa kiwanja hicho ili kuruhusu ndege zaidi kutua na kutoa huduma za usafiri wa anga kutokea katika uwanja huo.
Tanroads haijengi barabara pia inasimamia ujenziMamlaka ya viwanja vya ndege haihusiki na ujenzi inahusika na viwanja vilivyokwisja kamilika wao ni operators sio contractors
Unaboreshwa ili ku achieve nini? Yaani yule chizi alikosea kujenga kwa udikteta wake na tulimuambia kuwa Chato haistahili uwanja wa kiwango kile. Sasa Mungu katusaidia kumtoa na nyinyi mliobaki mnataka KUBARIKI makosa yake?Uwanja wa ndege Chato kuboreshwa.