kazikwanza1981
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,577
- 729
Timu hizi ni mzigo na hazina mipango endelevu zaidi ya kudorore soka LA Tanzania.
Hizi ni timu kongwe lakini hazina hata uwanja wa mazoezi kwa miaka yote ya uwepo wao.
Hizi timu zinamiliki club. Ni aibu timu kubwa kama Azam kuwa ni tawi rasmi LA Simba.
Ndani ya vilabu vya soka kuna hujuma. Timu zinajitoa kafara kwa Simba na Yanga.
Hizi timu hazina tija kwa mustakabali wa soka let. Tunataka soka LA kisasa.
yeye anafikiri kila kitu ni selikari, La saba wamemaliza mtiani tutachoka muno na thread zenye akili mgando.
Inatia moyo kuona mwanadada unafuatilia mambo ya soka. Safi sana.
unamaana jaja na msuva?
Unapoelekea utasema wafute na shule za secondary
Mleta maada hii nadhan upo darasa la 3 ukifika la 7 utaelewa zaidi
Habari yako mtumishi wa Mungu.
kipigo cha jana bado kinawapa tabu mashabiki wa simba
Jamani mtoa mada ni Yanga kwa hoja yake, hats simba ikicheza na Azam , yanga itaishangilia azam
yeye anafikiri kila
kitu ni selikari, La saba wamemaliza mtiani
tutachoka muno na thread zenye akili mgando.
Maada na Mada ni maneno mawili tofauti,hapi ulitakiwa useme mada sio maada.Samahani lakini.