Hivi kumbe Simba na Yanga zinamilikiwa na serikali??
Chondechonde usije ukaiomba serikali iifunge Fyatanga bar kwa kuwa haina mipango endelevu ya kuchoma kitimoto
Serikali yenyewe imechemsha kujiongoza sioni tofauti yake na hizi timu mbili kongwe.
Serikali ndiye msajili wa taasisi na asasi zote za kijamii vikiwemo vilabu vya michezo ikiwemo Simba na Yanga
mtiani ndio nini?
Kwa hiyo serikali ikizifuta Yanga na Simba (automatically ikalifuta na tawi lake la Azam), ni timu gani yenye uwanja wake binafsi itakayokuwapo? Nadhani uliandika kabla haujatafakariHizi ni timu kongwe lakini hazina hata uwanja wa mazoezi kwa miaka yote ya uwepo wao.Ni aibu timu kubwa kama Azam kuwa ni tawi rasmi LA Simba.
3-0 imekuchanganya hivi?