Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
> 80% ya Korosho yetu inasafirishwa kwenda India kwa ajili ya kuwa ,,processed” , kwa maana nyingine kama nchi hatuna uwezo wa kuprocess 80% ya korosho tunazolima, hivyo ningependekeza Serikali iweke kodi maalumu ili hiyo fedha tuitumie kujenga processing plants hapa kwetu.
Serikali inaweza kuwachaji Wazungu wanaokuja kutalii, kwa mfano badala ya kulipia viza 50 USD tuongeze Dola 10 na hiyo kumi iende kwenye viwanda vya process korosho.
Wazungu wanaweza kujenga hivi viwanda kama tukiwaongezea kodi, kwa kila kitanda cha hoteli wanacholalia tuongeze dola 5, kila bia wanaokunywa tuongeze kiasi fulani, tiketi ya ndege, boti kwenda Zanzibar, Mbugani, kupanda Mlima kote tuongeze kidogo na hiyo fedha tujenge processing plants za korosho.
Tukiweza kupocess hata tu 60% ya korosho zetu, tunaweza kupunguza umaskini Kusini mwa nchi yetu kwa kiasi kikubwa sana, tunaweza kulifanya hili na na kuondoa utegemezi wa Muhindi, ...