Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Tuikumbushe serikali hasa hii ya Magufuli wawe makini tusijeingia hasara kulipa fidia!Mpaka sasa hisa za ACASIA zimedorora kutokana na sintofahamu ya report ya tume iliyoundwa kuchunguza makontena ya mchanga wenye madini!
Kipindi cha nyuma sakata la samaki wengi tulishangilia tukiamini ule ni uzalendo,tukawala wale samaki wa bei chee na kutaifisha meli!Baadaye tukashindwa na kutakiwa kulipa fidia ya samaki na meli mpya!
Ni kwa kumbukumbu hizo basi serikali iwe makini,isirudie makosa yatakayotugharimu!