osieee
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 222
- 232
Umefika wakati muafaka sasa kwa serikali yetu kuanza kuchukua kodi kwa mafund ujenzi wote Tanzania maana hawa watu wanapiga hela ndefu sana na hakuna taasisi mahsusi kwa ajili ya upangaji bei za ujenzi ,for example wapo wanaojenga kwa siku analipwa 25-35.
Serikali sasa iunde taasisi maalum itakayokuwa chini ya wizara ya ujenzi na ziwepo kila mkoa na vile vile utengenzwe mfumo mahsusi wa ukusanyaji kodi kwa mafundi ujenzi wote Tanzania kwani wanatengeneza zaidi ya minimum tsh 560,000 hadi maximum earning 1,234,000 tsh per Month ,kwa hiyo tisa ya earning yao per month itatusaidia sana kwani kuna mafundi ujenzi zaidi ya laki na kitu ambao hawana usajili wowote na wanapiga pesa na hawalipi kodi yoyote.
Asanteni na karibuni kwa mawazo na ushauri wenu kuhusu wazo hili.