ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Mkristo gani asiyejua kwamba neno MUNGU huanza na kepito leta. wewe ni wale wale wa AS au saw.
wakipata utajiri wewe tatizo lako ni nini ? na wewe anza unabii kama umaskini umekuchosha tukuone.
au anza msikiti wa kilokole kwa waislamu upige hela. waambie wewe ni mjukuu wa mtume kwa yule mke wake mwenye umri mdogo.
Kazi ipo mkuu na hawa manabii wetu.