Watanzania naomba tusijisahau, hebu leo hii kwa pamoja tuiombe serikali hii iliyojinadi kwamba imekusanya pesa za kodi kiasi kikubwa ambacho hakikuwahi kufikiwa tangu uhuru watuambie hizi fedha zote zimeenda wapi?
Naomba tupate majibu na msitujibu kwa hasira, tufanunulieni hizo pesa zote zimeenda wapi? Au tuamini kwamba, serikali hii imevunja record kwa kuwa serikali ya kifisadi kuliko serikali zote tangu uhuru, maana hatuelewi elewi. Jinasueni katika hili kwa kutueleza zilikoenda
hizo fedha.