Serikali itapata tabu saaana.

Serikali itapata tabu saaana.

Nyagalu blood

Member
Joined
Feb 3, 2019
Posts
5
Reaction score
13
Ifikie tu hatua iyajibu maswali ya mh.Tundu A.Lissu ,na kama haina majibu basi isione haya kumuomba radhi mh lissu,kuliko kuendelea kujibizana, huku serikali ikitoa hoja ambazo hazina mashiko ni kujiambisha na kuonyesha madhaifu yake kitaifa mpaka kimataifa..
Na zaidi ya hapo ni kumpa umaarufu zaidi mh.Lissu.

Ni hayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali na ccm kujisafisha inabidi wakemee vikali kitendo alichofanyiwa Lissu na kuchukua hatua. Kujaribu kuaminisha umma kwamba Lissu ndio anakosea ni sawa na kumwagia mafuta kwenye moto.
 
Huhitaji

Huhitaji kutumia akili nyingi kumfahamu aliyetaka kumuua Lissu. Matamko na matendo ya kipuuzi yanajitaja wazi nani ni muuaji
 
Ifikie tu hatua iyajibu maswali ya mh.Tundu A.Lissu ,na kama haina majibu basi isione haya kumuomba radhi mh lissu,kuliko kuendelea kujibizana, huku serikali ikitoa hoja ambazo hazina mashiko ni kujiambisha na kuonyesha madhaifu yake kitaifa mpaka kimataifa..
Na zaidi ya hapo ni kumpa umaarufu zaidi mh.Lissu.

Ni hayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio tu Swala la Lissu waseme pia Ben Saanane yuko wapi, Azory Gwanda yuko wapi na waliopotea wote. Hii ni ngumu kumesa.
 
Serikali na ccm kujisafisha inabidi wakemee vikali kitendo alichofanyiwa Lissu na kuchukua hatua. Kujaribu kuaminisha umma kwamba Lissu ndio anakosea ni sawa na kumwagia mafuta kwenye moto.

Sasa kwanini wajisafishe kama hawajafanya jambo lolote baya. Naona wengi wanazungumzia serikali kujisafisha kama ilihusika kwanini mnataka ijisafishe iongee tu ukweli wa kilichotokea siyo kujisafisha au kujichafua.
 
Ifikie tu hatua iyajibu maswali ya mh.Tundu A.Lissu ,na kama haina majibu basi isione haya kumuomba radhi mh lissu,kuliko kuendelea kujibizana, huku serikali ikitoa hoja ambazo hazina mashiko ni kujiambisha na kuonyesha madhaifu yake kitaifa mpaka kimataifa..
Na zaidi ya hapo ni kumpa umaarufu zaidi mh.Lissu.

Ni hayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali Lissu ameishiwa anarudia rudia yale yale. Hivyi hahitaji majibu tena
 
Solution ni kuleta wachunguzi wa kimataifa ili tujue kama aliyempiga risasi TL ni chadema au goons wa magufuli

Sent using Sukhoi Su-57
 
Back
Top Bottom