Sasa wewe umekerwa !? Kutakuwa na option mbili, aidha useme una dini na ni ipi ? Au huna dini. Chagua moja !jana katika taarifa ya TBC1, Shekhe Simba alitoa kauli ya kuwataarifu waislam kushiriki katika sensa baada ya serikali kukubali kuingiza kipengere cha dini katika hojaji ya sensa inayotarajiwa kufanyika August 2012.
Swali kwa serikali ni kwa namna gani tutatumia takwimu za udini wa mtanzania katika kumletea maendeleo? Au imefanyika kuiridhisha dini fulani ili sensa iweze kufanyika?
Quality
Kuna faida nyingi katika hizo "data" ambaye anae zihitaji hizo data ataziomba zikiwa ni official data toka serikalini. Kama kampuni inataka kufungua biashara fulani na ikagundua kuwa wateja husika (majority) inaingiliana na imani zao, ikaacha au ikabadilisha, je hujaona hizo busara? !mimi wakiniuliza dini yangu ntawaambia MTANGANYIKA
Kuna faida nyingi katika hizo "data" ambaye anae zihitaji hizo data ataziomba zikiwa ni official data toka serikalini. Kama kampuni inataka kufungua biashara fulani na ikagundua kuwa wateja husika (majority) inaingiliana na imani zao, ikaacha au ikabadilisha, je hujaona hizo busara? !
Dini zote hazinywi bia wala kula kiti moto ! Wasabato masalia pia wamegomea kiti moto ! Utakuwaje na dini halafu ufanye vinavyokatiliwa na dini !? Utakapotaka kubadilisha mitaa ya Zanzibar kuwa Sinza ndogo, lazima utapata matatizo ! Hebu fikiri kidogo kabla ya kuropoka !Kiti moto huliwa na bia hunywewa na watu wa dini zote na ni biashara zenye faida kubwa bila hizo data........ntajie bidhaa nyingine inayoguswa na dini
Hilo wewe linakusumbuwa nini !?Ninhakika kuwa hawatapata majibu yaliyosahihi. (errors 66%). not reliable data
Quality
Dini zote hazinywi bia wala kula kiti moto ! Wasabato masalia pia wamegomea kiti moto ! Utakuwaje na dini halafu ufanye vinavyokatiliwa na dini !? Utakapotaka kubadilisha mitaa ya Zanzibar kuwa Sinza ndogo, lazima utapata matatizo ! Hebu fikiri kidogo kabla ya kuropoka !
Wewe una kerekwa na nini hasa na hizi takwimu kupitia sensa !? Nini kinapungua kwako ? Hofu yako ni juu ya nini !? Yaani mnashangaza kweli na hayo madonge yenuna vita ya udini na kuchoma makanisa ikishamiri, wataangalia nani wengi?
Kwani kama dini yangu hindu... nikitaka takwimu za wahindu wote nikiwa mhindu, nitazikosa?
Au unataka kusema waislamu wakitaka kujua wako wangapi kwa kutumia machinery zao hawawezi kupata takwimu hizo?
Nimekuomba unitajie bidhaa ambazo huuzwa kwa misingi ya imani ya mtu ukashindwa(mimi nimekutajia).......wewe unakimbilia kudai naropoka..sasa utuambie huyio mfanyibiashara anataka kutumia takwimu za kidini kupanga biasha gani? Mchele wa kiislamu na mchele wa kikristo upo?
jana katika taarifa ya TBC1, Shekhe Simba alitoa kauli ya kuwataarifu waislam kushiriki katika sensa baada ya serikali kukubali kuingiza kipengere cha dini katika hojaji ya sensa inayotarajiwa kufanyika August 2012.
Swali kwa serikali ni kwa namna gani tutatumia takwimu za udini wa mtanzania katika kumletea maendeleo? Au imefanyika kuiridhisha dini fulani ili sensa iweze kufanyika?
Quality
kusema mtu ana Dini halafu anakula kiti moto, huko sio kuropoka !? Hiyo list ya bidhaa itajustify nini kwako ? Serikali itapata hasara kwa kuwa na takwimu za idadi ya watu na dini zao ? Serikali ilijuaje Tanzania ina makabila zaidi ya 120 ?
Mbona mnakwepa swali la msingi, hivi idadi ya watu na dini zao inavuruga vipi utaifa ? Je wapi wameathirika kwa takwimu kama hizo !? Mbona zipo taasisi zimenukuliwa zikitoa takwimu za kuhusu dini zenye utata, je ni vibaya tukiwa na takwimu rasmi zinazotambuliwa na serikali !?Wanasheria watoe michango apa... Ila mimi nafkiri jibu ni rahisi. Tanzania ni JAMHURI inayoongozwa na katiba. HAINA DINI (haiongozwi kwa misingi ya dini) ila watu wake wana uhuru wa kuamini katika imani zao ili mradi hawavunji sheria, Serikali inaheshimu imani na uhuru wa wa TZ.
Sensa inahusu TAIFA sasa suala la kujua dini ya mtu la kazi gani...? Someni mantiki haswa ya kujua idadi ya wadini fulani na impact yake. Angalieni yanayotokea Nigeria sasa... Nafkiri watu tuwe na mtazamo kama wa mzazi na watoto wake, ambao licha ya tofauti zao kielimu, kipato, kimaendeleo nk. wote hubaki wa BABA MMOJA
Swali kwa serikali ni kwa namna gani tutatumia takwimu za udini wa mtanzania katika kumletea maendeleo? Au imefanyika kuiridhisha dini fulani ili sensa iweze kufanyika? Quality
Kwani wewe kuwa mtanzania haitoshi kukutambulisha na watu wakifanya kazi zao ipasavyo utapata kila kitu....? Kwa nini hatujifunzi kitu kwa kusoma herufi "USA" UK " UAE n.K...? Unafkiri hizi umoja zingefikia kuongoza dunia kimaendeleo kama zingeongea lugha ya udini,nk...? Alafu angalia DRC, Sudani, Nigeria na wengine na madhara ya udini, ukabila nk...? Afu mkumbuke Gadafi aliyeona mbali kutaka USA (United States OF AFRICA) walichomfanyia.." Msione vitu kijuu juu, siku zote mtu anaetaka kukusambaratisha lazima aangalie wapi akigusa nyie mtakosa umoja ili afanye anachotaka. Wew unafkiri WASUDANI wanavyogombana kwa kutumia dini na Urangi, ni wasudani wanaofaidika baada ya kugawanywa nchi kwa misingi ya dini na jee ni dini ilikua inatafutwa au ni Mafuta, na je wanaofaidi ni kina nani...?