MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
Ni bahati yako..wanawafanyia usaili watu wengi ila wanaowachukua wanakuwa wachacheAseeh..huwa wanaangalia nini mkuu. Maana hawa naskia wanawambia wajiandae watafanyiwa usaili kikanda
Ni bahati yako..wanawafanyia usaili watu wengi ila wanaowachukua wanakuwa wachacheAseeh..huwa wanaangalia nini mkuu. Maana hawa naskia wanawambia wajiandae watafanyiwa usaili kikanda
Kairuki hashughulikii ajira bhana, nadhanikwa mujibu wa wazir anayeshughulikia masuala ya ajira, Mh Angela Kairuki, Ajira zitaanza kutoka mara baada ya kumalizika kwa zoezi la watumishi hewa, ambalo kulingana na matamko ya awali ilibidi liwe limefikia ukomo wake wiki iliyopita, ila limeshindwa kukakamilika kwa sabbu baadhi ya watumishi hawajafikisha taarifa kuhusu uhakiki wao, hvyo zoezi kusogezwa mbale mpaka watakapo toa taarifa zingne
kaka acha ubishi kama shipa, uwe mtu wa kupenda kujifunza usipende kutunza ujinga kwenye ubongo wako mwishowe akili itahamia magotini, maana kila nikitajara wazri anayeshughulikia ajira za uma unakomaa na mm kama tunafahamiana...Kairuki hashughulikii ajira bhana, nadhani
ni Jenister
Hongera. Post gani, secret service auLeo wengine tumepiga interview tayar
Mkuu unamanisha waliomaliza mwaka 2016 au 2015?Kuna graduates wamemaliza chuo mwaka huu baadhi wanadai wamepigiwa simu na utumishi
Jaman Ajira mpya ni lini serikali imehaidi kutoa