Serikali itaanza lini kuajiri rasmi?

Serikali itaanza lini kuajiri rasmi?

pete mende

New Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
3
Reaction score
0
Ndugu zangu wana jf naomba kuuliza ni lini serekali itatoa ajiraa!!!!??
Naomba kwa wale wenye ndugu zenu walio mawizarani ntujuzee
 
Serikali itaongeza Ajira pale ambapo wewe utaajiri watu....

Kwamfano ww ukiwa na kampuni yako ukaajiri watu ishirini selikari itahitajika kuongeza watumishi TRA, kama ni kiwanda Wizara ya viwanda, kama ni maswala ya dawa itaongeza wafanyakazi TFDA..., kama ni maswala ya technology itaongeza wafanyakazi kwenye bodi za uhakiki majengo na uhakiki teknolojia ili owe rahisi kukusanya kodi zao na kukagua ubora Wa bidhaa na kazi zako.....
So changamka kijana ajiri watu ili serikali iongese Ajira.
 
Chamsingi swala la kuajiliwa lipotezee tu kwa sasa fanya mambo mengine ajira zitatokea kama zali ombeni tu Mungu maana kila siku ni bado tunahakiki
 
Ndugu zangu wana jf naomba kuuliza ni lini serekali itatoa ajiraa!!!!??
Naomba kwa wale wenye ndugu zenu walio mawizarani ntujuzee
kwa mujibu wa wazir anayeshughulikia masuala ya ajira, Mh Angela Kairuki, Ajira zitaanza kutoka mara baada ya kumalizika kwa zoezi la watumishi hewa, ambalo kulingana na matamko ya awali ilibidi liwe limefikia ukomo wake wiki iliyopita, ila limeshindwa kukakamilika kwa sabbu baadhi ya watumishi hawajafikisha taarifa kuhusu uhakiki wao, hvyo zoezi kusogezwa mbale mpaka watakapo toa taarifa zingne
 
Ila kwa ugumu huu wa maisha daaaa
wengine tumezuiliwa mshahara kwa ajili ya uhakiki na tunafamilia sijui watengeneza kitugani kama sio kuichukia serikali maana walisema zoezi litachukua miezi miwili ila sasa ni zaidi... Nimeacha kazi private nakuhamia kituo changu cha kazi nilichopangiwa, nimepokea mshahara wa mwezi mmoja, baada ya hapo mshahara ukasitishwa kupisha uhakiki... sasa nimiezi 3 nipo ugenini sina mshahara na familia inanitegemeaa... Na mpaka sasa hakuna matumaini... hii ni chuki inayotengenezwa...
 
Yaani maisha ni Magumu sana hasa tuliojiona tulishaajiliwa halafu waraka wa kusitisha ukatoka.Nilijaribu kupiga simu utumishi kwa namba walizoweka 0682800999 lakini call rejected.
 
pamoja mkuu sijui kama wana tufikiria na wala sijui kama watatulipa fidia maana tumekuwa dilema
 
Yaani maisha ni Magumu sana hasa tuliojiona tulishaajiliwa halafu waraka wa kusitisha ukatoka.Nilijaribu kupiga simu utumishi kwa namba walizoweka 0682800999 lakini call rejected.
Alieshiba........................
 
wengine tumezuiliwa mshahara kwa ajili ya uhakiki na tunafamilia sijui watengeneza kitugani kama sio kuichukia serikali maana walisema zoezi litachukua miezi miwili ila sasa ni zaidi... Nimeacha kazi private nakuhamia kituo changu cha kazi nilichopangiwa, nimepokea mshahara wa mwezi mmoja, baada ya hapo mshahara ukasitishwa kupisha uhakiki... sasa nimiezi 3 nipo ugenini sina mshahara na familia inanitegemeaa... Na mpaka sasa hakuna matumaini... hii ni chuki inayotengenezwa...
Poles sana mkuu, we suffer the same situation, but only God knows
 
Kuna graduates wamemaliza chuo mwaka huu baadhi wanadai wamepigiwa simu na utumishi
 
Hawakuomba ila wamejikuta wamepigiwa from no where. Wengi wao wa mzumbe.
Hao wanakuwaga ni usalama...kuna vijana mwaka jana wengi waliwachukua kutoka sua..walikuwa wanapigiwa simu na utumishi then wanaenda kuwafanyia usaili dar
 
Aseeh..huwa wanaangalia nini mkuu. Maana hawa naskia wanawambia wajiandae watafanyiwa usaili kikanda
 
Back
Top Bottom