Karimjee!Walihamia Dodoma kutoka wapi?
Awamu ya 5 vikao vyote vya kamati ni Dodoma!Enzi za Mwinyi siyo?
Kabisa,pana upepo wa dhiki sana, kuboresha state house ni sawa, ila watendaji wengine serikalini ni kuwaonea.Unahitaji moyo wa chuma kuhamia Dodoma
Karimjee!
Kwani kuna kipindi walikua hawako Dom?Ndugai na bunge wako Dodoma!
Sisi ni waumini wa sera za mwalimu Nyerere,tutatekeleza kila alichopanga kufanya,kiwe na faida au kisiwe na faida, sasa naelewa why wazungu wanapenda kusafiri sana duniani,exposure ni darasa on its ownKwa mifumo ya mawasiliano E Gov , ugatuzi madaraka, mbali ya Wabunge nani Mtanzania anahitaji kufika wizarani kwa lipi!?Tumepoteza pesa bure maamuzi Dom, hapakuwa na uhitaji as planned earlier.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa,pana upepo wa dhiki sana, kuboresha state house ni sawa, ila watendaji wengine serikalini ni kuwaonea.
Sent using Jamii Forums mobile app