Kitchener
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 13,823
- 27,695
Nimetoa mikoa hiyo miwili kama mfano tu wa mikoa mingine. Mwanza na Dodoma walau ni tambarare na urahisi kidogo wa kujenga barabara unaweza kuwepo. maeneo hayo yanatakiwa yaanze kujengwa miundombinu ya kisasa mapema. vilevile, kwasababu umeme utakuwepo, sio mbaya tukajenga na trams kwenye mikoa yenye tambarate (Dodoma, Mwanza, Morogoro, sumbawanga, Tanga n.k). maeneo yanye milima mjini kama mbeya, iringa, songea n.k yawepo tu mabasi.