Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Kama Rais wetu alivyopiga marufuku kampeni za uzazi wa mpango, kwa kuwa ni propaganda za mabeberu na sasa hivi hazisikiki tena radioni na watanzania wanazaa wapendavyo,
Rais wetu pia juzi alisikika akiwahimiza wazazi kutowagundisha watoto wao English badala yake lugha za asili kama Kisukuma, huu ni uzalendo wa hali ya juu..!
Tungeomba pia Rais wetu mzalendo, angefutilia mbali hizi kampeni za kuzuia ukeketaji kwani ni mila yetu ya asili, hatutaki kupoteza mila zetu ya asili, tunadanganywa na mabeberu kuukataa Uafrika wetu..!