Serikali inayojinasibu kuwajali wananchi haiwezi kuwanyima "Bunge Live"

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,863
3,851
Kama kweli Serikali ya Awamu ya Tano inajinasibu na kujipambanua kuwa ni Serikali inayowajali wananchi, haiwezi kuwanyima wananchi wake Haki ya kuona Bunge Live.

Maneno Tu bila Vitendo ni kazi bure.
Uoga wa kukosorewa utatunga majipu mapya.
 
Back
Top Bottom