Ebu acheni unafiki mmelazimishwa Kuwa walimu? Mbona kuna walimu tena wa primary wanalipwa zaidi ya 1.5mill? Kwanini mnaasume walimu wote wanalipwa 300,000? Jeendelezeni mpande vyeo au tafuteni kazi zingine zinazolipa lkn kuchukua mshahara bila kazi ni Zambi kubwa zaidi ya ufisadi. Kumbukeni mkataba wa ajira ni voluntary sio lazima uamuzi mnao wemyewe acheni uhuni hautawasaidia
Tetty unajua hawa watu wanatia hasira sana? Hawa wezi wanatakiwa wafahamu kwamba watanzania wa leo ni werevu sana--hawawezi kutufananisha na wale wa mwaka 1947! Ipo siku hawa nguruwe pori watalia na kusaga meno yao marefu na yenye ncha kali kwenye miamba ya mawe. Kuna siku yaja, na haiko mbali sana, wewe subiri kidogo.
Truly Tetty"Bado nina imani kuna siku mungu huyo wanaye muomba wao atakuja kuwa upande wetu maana hata sisi ndiye tunaye muomba"mungu wa roma empire yuko wapi? The end of ccm is near the door!Wanafahamu kuwa watanzania tunauelewa mpana sana,ila wanachofanya sasa ni kututia woga ili tujione wajinga bado.Ninauhakika hiyo ni njia moja wanayoitumia kutudhoofisha mawazo yetu.Ona jinsi Mdee Halima alivyoiweka vyema point yake kuwa haoni sababu kwa nini bajeti ipunguzwe kwenye maeneo muhimu ikaongezwe kwenye posho,na Spika alijua hilo ndiyo maana alimjibu "Halima unajua ninajua unaakili sana lakini hapa siyo mahali pake"Sasa unadhani kwa maneno hayo hawajui kuwa tunajua mengi?
Bado ninaamini kuna siku Mungu huyu wanayemuomba wao atakuja kuwa upande wetu,maana hata sisi ndiye tunayemuomba.
Truly Tetty"Bado nina imani kuna siku mungu huyo wanaye muomba wao atakuja kuwa upande wetu maana hata sisi ndiye tunaye muomba"mungu wa roma empire yuko wapi? The end of ccm is near the door!