tzjamani
JF-Expert Member
- Oct 9, 2010
- 995
- 30
Issue hii ni nyeti na sio suala la kuangalia mke na mme tu na mambo ya kutiana, kuna issue ya watoto ambayo kwangu ni muhimu sana. Child development ni muhimu sana, na role ya baba na mama ni nguzo kuu.
Wewe unayetoa mfano wa mme Dar na mke Japan na kufananisha issue ya Mtwara vs Kagera ni wazi hujui usemalo.
Nakubaliana nawe. Naamini malezi ya watoto plus kuenjoy mambo ya ndoa. Kama tunajenga taifa lazima tuanzie kwenye familia. Familia bora ndio huzaa taifa bora.