akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,193
- 1,810
Vishwawishi vya nini wakati unatoka kazini hoi unafikia kupika maana mkeo hayupo??? Mie nadhani unavitafuta mwenyewe hivyo vishawishi maana kama utatoka kazini hoi ukafikia kuoga, kupika, kula na kulala sidhani kama utavipata vishawishi maana naona ni ngumu mie mbona naweza wajameni????
jamani mazingira ya kisera yaliyokuweepo nyakati hizo za nyuma yameishabadilika. pia ni muhimu tujifunze kuwa na self control kwenye mambo ya mapenzi.
Hapo ujue kigogo amekuhamisha uende mbali ili amchakachue mkeo
Sidhani kama ni kweli kwa kila mtu. Kwako inawezekana lakini kwangu haiwezekani na ndio sababu ya kuwepo mume na mke. Zaidi ya hapo ni kuhujumiana na kudhulumiana tuVishwawishi vya nini wakati unatoka kazini hoi unafikia kupika maana mkeo hayupo??? Mie nadhani unavitafuta mwenyewe hivyo vishawishi maana kama utatoka kazini hoi ukafikia kuoga, kupika, kula na kulala sidhani kama utavipata vishawishi maana naona ni ngumu mie mbona naweza wajameni????
Ndugu umeongea point ya msingi sana, naomba hili lisiongelewe tu hapa jf bali liwekwe wazi hata kwenye vyombo vya habari vingine maana hii inauma sana! Imefikia sehemu vijana wengi wanaogopa kuoa wafanyakazi kwa sababu ya kuhisi kwamba watamis haki yao ya ndoa make mwanaume akiwa mtwara mke kagera kuonana itachukua muda sana!
Eti ee?Mkuu mazingira ya sasa yamebadilika kubaliana nayo tu na muamini mkeo au mumeo basi. Kuhusu sijui uko Kagera na wewe Mtwara. Kuna jamaa yangu mie anafanya kazi Dar na Mkewe yupo Japan sasa huyo unasemaje? Come on grow up and get a life!!!
Vishwawishi vya nini wakati unatoka kazini hoi unafikia kupika maana mkeo hayupo??? Mie nadhani unavitafuta mwenyewe hivyo vishawishi maana kama utatoka kazini hoi ukafikia kuoga, kupika, kula na kulala sidhani kama utavipata vishawishi maana naona ni ngumu mie mbona naweza wajameni????
Hayo mliyoyasema dada zangu yatawezekana iwapo hormones za uzazi za huyo aliyehamishwa mbali na mwenzi wake zitasimama kufanya kazi kwa kuwa yuko mbali na mwenzi wake, vinginevyo hii kitu ni "next to impossible".Mbona wao wanaohamisha wenzao hawakai mbali na wake au waume zao,si wangeonesha mfano kwanza wao?
haswa kama huwa unakula na kushiba
Na hukuoa kwa kulazimishwaNa unaithamini ndoa yako.
lizzy hujambo? Username yako ilikuwa ni kifupisho cha mpenzi wa zamani ndo maana nalipenda. Alikuwa amefungasha huyo, usipime!!We mwenzio hapo alipo tayari ana maumivu yakumkosa mamaa alafu unataka kumuongezea presha juu?Muonee huruma bwana!