Serikali inaumwa, yajimwaga Loliondo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali inaumwa, yajimwaga Loliondo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Miruko, Mar 28, 2011.

 1. M

  Miruko Senior Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 8, 2008
  Messages: 173
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mawaziri wetu wa Wakuu wa Mikoa wakitoa kauli kuhusu mambo fulani tunasema Serikali imesema au imeagiza. Sasa hivi 'Wakulu wetu' wanamiminika Loliondo kwa Babu kutibiwa, kwa nini tunashindwa kusema "Serikali inaumwa, kama nilivyoonesha hapa kwenye KISIMA CHA FIKRA? Kumbuka: Babu alishasema kwake hakuna Kinga, kila anayekwenda anataka Tiba.
   
 2. M

  Mkwele JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli serikali inaumwa
   
 3. k

  kayumba JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Uzuri wa Babu, ni kuwa anatibu magonjwa yote!
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Bado Rais hajaenda kwa hiyo serikali haiumwi
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280

  nani kakudanganya?yaani huyu ndo alikuwa wa kwanza kwanza kwenda..kapiga kikombe ndo akajidai kwenda kupatanisha akina Gagbo
   
 6. M

  Miruko Senior Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 8, 2008
  Messages: 173
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sema hatujaelezwa kama Rais kaenda au la. lakini nasikia leo serikali imeweka wazi kuwa dawa ya Babu haina madhara yoyote.
   
 7. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Alikuwa wa kwanza kwanza kupitia huko wakajidai eti amekwenda kuzindua mguu wa binadamu wa zamani!!
   
Loading...