Serikali inapata hasara gani wananchi wakipata mabando ya makubwa kwa Bei nafuu?

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
1,044
2,000
Bila kugugumiza , kushuka kwa viwango vya mabando Ni mpango mkakati wa serikali chini ya utawala wa awamu ya tano ambao unatekelezwa katika awamu hii ya sita.

Jiwe aliwahi kutanabaisha kuwa ingewezekana kuzuia Huduma za internet kwake ingekuwa furaha yake, na ikumbukwe kiongozi wa pili wa juu kabisa Ni Rais aliyeko madarakani Sasa ambaye nae kashatanabaisha kuwa yeye na Jiwe Ni kitu kimoja, kwa hyo anatekeleza mipango
Mikakati waliojiwekea ikiwemo suala la internet!

Swali Ni je, makampuni ya mitandao yanavyotoa Huduma ya mabandle kwa kiwango Cha juu, hawa watawala wanapungukiwa Nini? Yan kinawauma Sana wananchi wao kupewa vitu vilivyo Bora?

Awamu ya tano na sita ndiyo source ya mabadiliko ya mara kwa mara ya mabundle Sasa Sijui wanakerwa na Nini!?
 
mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
1,044
2,000
Mtachati Sana hamtafanya kazi
Kwani siku zingine tulikua hatufany kazi?

Pia kumbuka watu wengine mitaji yao Ni mabundle, usisahau hlo!!

Nb. Mim hapa mpaka Sasa npo ofisin naingiza kipato na bado nipo humu JF, shda iko wap??

Wanaharibu biashara za watu!
 
desayi

JF-Expert Member
Aug 27, 2017
1,381
2,000
Kwani siku zingine tulikua hatufany kazi?

Pia kumbuka watu wengine mitaji yao Ni mabundle, usisahau hlo!!

Nb. Mim hapa mpaka Sasa npo ofisin naingiza kipato na bado nipo humu JF, shda iko wap??

Wanaharibu biashara za watu!
Wanataka wanyonge tuishi Kama mashetani
 
Musundi

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
1,374
2,000
Bila kugugumiza , kushuka kwa viwango vya mabando Ni mpango mkakati wa serikali chini ya utawala wa awamu ya tano ambao unatekelezwa katika awamu hii ya sita.

Jiwe aliwahi kutanabaisha kuwa ingewezekana kuzuia Huduma za internet kwake ingekuwa furaha yake, na ikumbukwe kiongozi wa pili wa juu kabisa Ni Raisi aliyeko madarakan Sasa ambaye nae kashatanabaisha kuwa yeye na Jiwe Ni kitu kimoja, kwa hyo anatekeleza mipango
Mikakati waliojiwekea ikiwemo suala la internet!

Swali Ni je, makampuni ya mitandao yanavyotoa Huduma ya mabandle kwa kiwango Cha juu, hawa watawala wanapungukiwa Nini? Yan kinawauma Sana wananchi wao kupewa vitu vilivyo Bora!!!?

Awamu ya tano na sita ndiyo source ya mabadiliko ya mara kwa mara ya mabundle Sasa Sijui wanakerwa na Nini!?
Wanaogopa mtatumia bundle hizo kuwakosoa kwenye mitandao ya kijamii!!
 
mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
1,044
2,000
Wanadai Mnaitukana sana Gavoo afu ile mikusanyiko ya kule twitter (space) inawatesa sana watawala
Sasa walitaka wapigiwe mapambio ya sifa na kuabudiwa nakati Hali sio shwari!

Mtu akikukosoa hadharani Ni mtaji kwako, anakusaidia mawazo mazuri ya namna Bora ya kutawala!
 
Santos06

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
2,128
2,000
Bila kugugumiza , kushuka kwa viwango vya mabando Ni mpango mkakati wa serikali chini ya utawala wa awamu ya tano ambao unatekelezwa katika awamu hii ya sita.

Jiwe aliwahi kutanabaisha kuwa ingewezekana kuzuia Huduma za internet kwake ingekuwa furaha yake, na ikumbukwe kiongozi wa pili wa juu kabisa Ni Raisi aliyeko madarakan Sasa ambaye nae kashatanabaisha kuwa yeye na Jiwe Ni kitu kimoja, kwa hyo anatekeleza mipango
Mikakati waliojiwekea ikiwemo suala la internet!

Swali Ni je, makampuni ya mitandao yanavyotoa Huduma ya mabandle kwa kiwango Cha juu, hawa watawala wanapungukiwa Nini? Yan kinawauma Sana wananchi wao kupewa vitu vilivyo Bora!!!?

Awamu ya tano na sita ndiyo source ya mabadiliko ya mara kwa mara ya mabundle Sasa Sijui wanakerwa na Nini!?
Si kama ivi umeandika upopoma unategemea bando zishushwe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom