Serikali inalipiza kisasi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali inalipiza kisasi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mvaa Tai, Jul 29, 2011.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Sisi wakazi wa Mivumoni, Madale na Wazo hili tulikuwa tunafurahia uzuri wa barabara zetu kuu zitokazo Wazohill kuelekea Mivumoni na Madale mpaka Mbezi, hizi ni barabara za vumbi lakini zilikuwa zinafanyiwa matengenezo ya kila mara karibu kila baada ya miezi mitatu. lakini baada ya uchaguzi uliofanyika Oct 2010 na CCM kupoteza jimbo hilo la Kawe na kuchukuliwa na Halima Mdee(CHADEMA) hiyo barabara haijaguswa hata siku moja, kwasasa imekuwa ni ngumu sana kupita hiyo barabara kwa gari ndogo. kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na ni kwanini hiyo barabara imesusiwa na serikali

  1. Baadhi ya watu wanadai Serikali ilikuwa inaifanyia matengenezo ya mara kwa mara kwasababu Kawawa alikuwa bado hai.
  2. Wengine wanadai Serikali ya CCM inalipiza kisasi kwa wananchi kwa kutokuichagua na hivyo kupelekea ushindi wa Halima Mdee.

  Je inawezekana kweli serikali ilikuwa inakarabati barabara ikimuogopa Kawawa? au ni kweli Serikali inalipiza kisasi?
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Rushwa, kazi ya magamba!!!!
   
 3. Mwana CCM.

  Mwana CCM. Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kwamba mfuate mbunge wako mpe hiyo shida yako si ulujua CHADEMA watakusaidia?
   
 4. Malunkwi

  Malunkwi JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  huo ni upuuzi kwani hao sisiem wamekusaidia nini wewe hapo ulipo? au ndo hizo fulana , kanga na kofia??? think big... sio kuropoka tu
   
Loading...