Kama bajeti ya maendeleo inaendeshwa na tozo, bila shaka ni muda mwafaka kwa watumishi kulipana per diem kwenye zile za bajeti ya mwaka maana zinakuwa hazina jam kubwa, na pia kuweka nyongeza ya mshahara na madaraja, bila kusahau ajira mpya za vijana........alisikika mchuuzi wa matikiti kutoka kule malinyi.