Hivi ni kweli serikali inafurahia hasara wanayoipata wafanyabiashara wa viroba? Ina maana ndo ule msemo wa sadistic govt?wao si ndio waliwapa vibali! Kwa nini wamekazana kutangaza thamani ya viroba walivyovikamata tu?inauma sana hakyamungu
Kweli kabisa mimi sina shaka na tamko la kukataa uuzaji wa viroba ila ninacho oona hapo ni ukomoaji..je viroba ni madawa ya kulevya?
Viroba ni vifungashio tuu content nizile zile kama za kwenye chupa..iweji nayo iwekwe kwenye madawa ya kulevya?
Basi pombe spirit and gin ijulikane ni malufuku
Hili halina mjadala kuhusu serikali kutegemea pato kubwa kutoka vinywaji ndio maana kila budget wanaongeza kodi kwenye vinywaji
Nawaonea huruma wafanya biashara kwa kutolewa agizo la usitishaji haraka eti kisa tuu mke wa wazir flan kaanzisha mada hii..bila hata kujali watu walichukua mikopo
Kwa mawazo yangu ili kuwanusuru hawa walio chukua stock..
Serikali ingeweka utaratibu wa kuwaludishia watengenezaji kwa makubaliano maalum ili wao waanze kuludishia kwebye chupa..ila kwa kuzingatia afya ya mteja..expire date
Watu wanamikopo badara serikali iwe rafik kwa wafanya biashara ili irahisishe chachu ya nchi ys viwanda..lkn serkal ndio kinara wa kuwa discourage wafanya biashara
Je kuna uwekezaji hapo tena..wakati serikali haifanyi mazingira rafik?
Nani atasaidia kulipa mikopo ya wafanya biashara.ilikukuza pato la benk na la noja moja?
Je ndio zana ya watu waishi kama mashetani?
Anglizo
Ni ngumu saana kufanya mwananchi wakipato cha chini anywe konyagi ya chupa saiz ya kati ni 4000 kutokana na kua pesa hakuna kwenye mzunguko..kuna hatari biashara haramu ya GONGO ikakua kwa kasi sn
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.