Serikali imvue uraia Maria Sarungi arudi zao Hungary

Maria Sarungi ni mtu hatari sana kwa usalama wa Taifa, dada huyu ambaye hana mtoto hadi leo baba yake amelitumikia Taifa kwa nguvu zote na hata serikali inamheshimu Prof Sarungi.

Maria mamake ni raia wa Hungary, kwahiyo nusu baba na nusu mama.

Tabia zake dada huyu ambaye hajulikani mumewe ni nani hadi anakaribia kuzeeka sasa amekuwa akikosoa bila staha serikali kwa vile anajua kikinuka atarudi Hungary.

Sisi wengine hatuna uraia wa nchi 2, kikinuka pa kukimbilia ni Manerumango au Matawalanda.

Amekuwa shabiki mkubwa wa Chadema na juzi ameomba watanzania tumchangia Lissu gari yake ili arudi kwenye harakati eti kwa sasa Lissu anakodisha gari.

Dada huyu wakati babake anakula mema ya nchi hakuwa akitukana wala nini, enzi hizo alifurahia maisha, alikuwa anafyonza tu keki ya Taifa, ss hv baba amestaafu utumishi wa umma kila cku kutukana serikali.

Maria hana jema analoliona kwa serikali, kila kinachofanywa na serikali kwake hakina maana.

Serikali ikikamata wanaotukana kwenye mitandao anakosoa, serikali ikijenga barabara anakosoa, serikali ikiimarisha huduma za elimu, afya yeye haoni anaona hakuna cha maana.

Tundu akitukana serikali hapo mjinga huyu mwenye uraia wa Tanzania na Hungary anaona ndio maendeleo kwake.

Babake amefanya kazi kubwa ya kujenga nchi na hadi leo hakuna mtu aliyewahi kumvunjia heshima Prof Sarungi, bingwa wa mifupa.

Maria amesoma kwa fedha za umma, babake ametumia mishahara ya serikali aliyokuwa akilipwa kumsomesha leo anawaona watanzania mabwege.

Tabia na hulka zake haziendani kabisa na mila na tamaduni zetu, cjui kama huyu dada huko mkoani Mara kijijini kwa babake kama wanamjua.

Naishauri serikali, iliwahi kuhoji uraia wa Jenerali Ulimwengu, huyu dada sio mtanzania, aende kwao Hungary huko akatukane maana wao wanaruhusu hata yale yaliyoongolewa na mbunge Waitara jana kule bungeni.

Fukuza uraia huyo sisi hatumhitaji hapa bongo.
Pole Sana kwa kujipa jukumu lisilo na lako. Serikali haiamriwi Bali hushauriwa. Ulichofanya ni unyanyapaa uliopitiliza kwa hiyo dada na elewa kutokuwa na mtoto siyo kosa kisheria na siyo maamuzi ya mhiyaji Bali kazi ya Mola! Watoto ulionao wewe una uhakika ni wako?
Jibu hoja zake na siyo kumdhalilisha kwa hizo personal attack zako.
 
Maria Sarungi ni mtu hatari sana kwa usalama wa Taifa, dada huyu ambaye hana mtoto hadi leo baba yake amelitumikia Taifa kwa nguvu zote na hata serikali inamheshimu Prof Sarungi.

Maria mamake ni raia wa Hungary, kwahiyo nusu baba na nusu mama.

Tabia zake dada huyu ambaye hajulikani mumewe ni nani hadi anakaribia kuzeeka sasa amekuwa akikosoa bila staha serikali kwa vile anajua kikinuka atarudi Hungary.

Sisi wengine hatuna uraia wa nchi 2, kikinuka pa kukimbilia ni Manerumango au Matawalanda.

Amekuwa shabiki mkubwa wa Chadema na juzi ameomba watanzania tumchangia Lissu gari yake ili arudi kwenye harakati eti kwa sasa Lissu anakodisha gari.

Dada huyu wakati babake anakula mema ya nchi hakuwa akitukana wala nini, enzi hizo alifurahia maisha, alikuwa anafyonza tu keki ya Taifa, ss hv baba amestaafu utumishi wa umma kila cku kutukana serikali.

Maria hana jema analoliona kwa serikali, kila kinachofanywa na serikali kwake hakina maana.

Serikali ikikamata wanaotukana kwenye mitandao anakosoa, serikali ikijenga barabara anakosoa, serikali ikiimarisha huduma za elimu, afya yeye haoni anaona hakuna cha maana.

Tundu akitukana serikali hapo mjinga huyu mwenye uraia wa Tanzania na Hungary anaona ndio maendeleo kwake.

Babake amefanya kazi kubwa ya kujenga nchi na hadi leo hakuna mtu aliyewahi kumvunjia heshima Prof Sarungi, bingwa wa mifupa.

Maria amesoma kwa fedha za umma, babake ametumia mishahara ya serikali aliyokuwa akilipwa kumsomesha leo anawaona watanzania mabwege.

Tabia na hulka zake haziendani kabisa na mila na tamaduni zetu, cjui kama huyu dada huko mkoani Mara kijijini kwa babake kama wanamjua.

Naishauri serikali, iliwahi kuhoji uraia wa Jenerali Ulimwengu, huyu dada sio mtanzania, aende kwao Hungary huko akatukane maana wao wanaruhusu hata yale yaliyoongolewa na mbunge Waitara jana kule bungeni.

Fukuza uraia huyo sisi hatumhitaji hapa bongo.
Sijaelewa tatizo lake ni nini. Kuwa shabiki wa Chadema? Kuchangisha pesa kwa ajili ya kumnunulia gari Lissu? Baba yake kuwahi kupata mshahara wa serikali?

Maana umeandika mambo mengi ila hujaainisha huko kuwa kwake hatari kwa usalama wa Taifa. Kutojulikana mume wake hakuwezi kuwa tatizo kwa taifa.

Nadhani tuliza munkari ili uweze kueleweka ndugu yangu.

Ova
 
Maria Sarungi ni mtu hatari sana kwa usalama wa Taifa, dada huyu ambaye hana mtoto hadi leo baba yake amelitumikia Taifa kwa nguvu zote na hata serikali inamheshimu Prof Sarungi.

Maria mamake ni raia wa Hungary, kwahiyo nusu baba na nusu mama.

Tabia zake dada huyu ambaye hajulikani mumewe ni nani hadi anakaribia kuzeeka sasa amekuwa akikosoa bila staha serikali kwa vile anajua kikinuka atarudi Hungary.

Sisi wengine hatuna uraia wa nchi 2, kikinuka pa kukimbilia ni Manerumango au Matawalanda.

Amekuwa shabiki mkubwa wa Chadema na juzi ameomba watanzania tumchangia Lissu gari yake ili arudi kwenye harakati eti kwa sasa Lissu anakodisha gari.

Dada huyu wakati babake anakula mema ya nchi hakuwa akitukana wala nini, enzi hizo alifurahia maisha, alikuwa anafyonza tu keki ya Taifa, ss hv baba amestaafu utumishi wa umma kila cku kutukana serikali.

Maria hana jema analoliona kwa serikali, kila kinachofanywa na serikali kwake hakina maana.

Serikali ikikamata wanaotukana kwenye mitandao anakosoa, serikali ikijenga barabara anakosoa, serikali ikiimarisha huduma za elimu, afya yeye haoni anaona hakuna cha maana.

Tundu akitukana serikali hapo mjinga huyu mwenye uraia wa Tanzania na Hungary anaona ndio maendeleo kwake.

Babake amefanya kazi kubwa ya kujenga nchi na hadi leo hakuna mtu aliyewahi kumvunjia heshima Prof Sarungi, bingwa wa mifupa.

Maria amesoma kwa fedha za umma, babake ametumia mishahara ya serikali aliyokuwa akilipwa kumsomesha leo anawaona watanzania mabwege.

Tabia na hulka zake haziendani kabisa na mila na tamaduni zetu, cjui kama huyu dada huko mkoani Mara kijijini kwa babake kama wanamjua.

Naishauri serikali, iliwahi kuhoji uraia wa Jenerali Ulimwengu, huyu dada sio mtanzania, aende kwao Hungary huko akatukane maana wao wanaruhusu hata yale yaliyoongolewa na mbunge Waitara jana kule bungeni.

Fukuza uraia huyo sisi hatumhitaji hapa bongo.
Tukufutie na wewe usiye na akili timamu, Mambo ya machadema yanakuhusu vipi?
 
Harafu huo ni udumavu wa kufikiri unataka vp watu wote wafanane kimawazo hilo ni tatizo kubwa
 
POS.
 
Unaandika ujinga tu na sijui kama unazijua sheria za uraia.Sarungi ni mhangary?kuoa na kuolewa ni nini.kuwa na watoto ni mapenzi ya Mungu
 
Hivi kumbe Serikali imeruhusu uraia wa nchi mbili?
Yeye amechagua kupinga na wewe chagua kutetea mkuu, hakuna mahala Sheria inakataza Serikali kukosolewa au kusifiwa.
Yeye amechagua kukosoa kama wewe na wengine mlivyochagua kusifia.

Baba yake alikuwa mtumishi wa Serikali na alikuwa akilipwa fedha kama sehemu ya utumishi wake na sio HISANI, kumsomesha mwanaye Binti Maria lilikuwa jukumu la Mzee Sarungi na haki ya Msingi ya Binti Maria.
 
Maria Sarungi ni mtu hatari sana kwa usalama wa Taifa, dada huyu ambaye hana mtoto hadi leo baba yake amelitumikia Taifa kwa nguvu zote na hata serikali inamheshimu Prof Sarungi.

Maria mamake ni raia wa Hungary, kwahiyo nusu baba na nusu mama.

Tabia zake dada huyu ambaye hajulikani mumewe ni nani hadi anakaribia kuzeeka sasa amekuwa akikosoa bila staha serikali kwa vile anajua kikinuka atarudi Hungary.

Sisi wengine hatuna uraia wa nchi 2, kikinuka pa kukimbilia ni Manerumango au Matawalanda.

Amekuwa shabiki mkubwa wa Chadema na juzi ameomba watanzania tumchangia Lissu gari yake ili arudi kwenye harakati eti kwa sasa Lissu anakodisha gari.

Dada huyu wakati babake anakula mema ya nchi hakuwa akitukana wala nini, enzi hizo alifurahia maisha, alikuwa anafyonza tu keki ya Taifa, ss hv baba amestaafu utumishi wa umma kila cku kutukana serikali.

Maria hana jema analoliona kwa serikali, kila kinachofanywa na serikali kwake hakina maana.

Serikali ikikamata wanaotukana kwenye mitandao anakosoa, serikali ikijenga barabara anakosoa, serikali ikiimarisha huduma za elimu, afya yeye haoni anaona hakuna cha maana.

Tundu akitukana serikali hapo mjinga huyu mwenye uraia wa Tanzania na Hungary anaona ndio maendeleo kwake.

Babake amefanya kazi kubwa ya kujenga nchi na hadi leo hakuna mtu aliyewahi kumvunjia heshima Prof Sarungi, bingwa wa mifupa.

Maria amesoma kwa fedha za umma, babake ametumia mishahara ya serikali aliyokuwa akilipwa kumsomesha leo anawaona watanzania mabwege.

Tabia na hulka zake haziendani kabisa na mila na tamaduni zetu, cjui kama huyu dada huko mkoani Mara kijijini kwa babake kama wanamjua.

Naishauri serikali, iliwahi kuhoji uraia wa Jenerali Ulimwengu, huyu dada sio mtanzania, aende kwao Hungary huko akatukane maana wao wanaruhusu hata yale yaliyoongolewa na mbunge Waitara jana kule bungeni.

Fukuza uraia huyo sisi hatumhitaji hapa bongo.
Wendawazimu wewe huyo dada anamchago mkubwa kwa taifa la Tanzania kuliko serikali Zima ya Samia. Actually aanamchago mkubwa kuliko maraisi wote walio wahi kutawala Tanzania.
 
We zuzu
 
Moja ya tatizo kubwa la huyo dada, yeye always unamkuta napinga na kukosoa wengine, ukajaribu kumkosoa yeye hachelewi kukupiga block. Anaonekanwa wazi ni mmoja ya wale wanawake waliochanganyikiwa.
 
Back
Top Bottom