Katia kwenye basi stand asubui wakati wa kuondoka utalipa hio 20,bado mnakata tiketi vijiweniNauli mwanza-kigoma ni 20k lakini wapiga debe wameipandisha mpaka 31k, hiyo 11k wanakula wao
Hata ofisini bado wapiga debe wapo tu sema wamechangamka...bei ya boss ni 20k ila wao wanakatia 30k...labda useme nikakatie nyumbani kwa bossKatia kwenye basi stand asubui wakati wa kuondoka utalipa hio 20,bado mnakata tiketi vijiweni
Yaani unasimamisha gari yako mwenyew bila appointment na mpiga debe ,halafu anakuja mpga debe na sigara yake mkonon na kikombe cha kahawa kavaa mlegezo hataree anakuulza bro unaelekea wapi?Kwa muda mrefu hawa wapiga debe wamekuwa sio tu kero bali pia wanaongeza kupanda kwa nauli za mabasi.
Yaani hata wenye vyombo vya usafiri twawaogopa. Hata ukiwa na gari yako binafsi huwezi kuchukua abiria au hata kumpa lifti
jamaa yako kwa kuwa tu wao huwa wanajimilikisha hao abiria na ukithubutu kuchukua abiria wako tayari kupasua vioo vya gari lako.
Pendekezo la suluhisho:
SUMATRA wapitie upya nauli za mabasi, wapunguze ili kupunguza nguvu ya wenye mabasi kuwapa cha juu wapiga debe,
Ni kwa wenye mabasi hutoza nauli halali kama ilivyopangwa na SUMATRA, lkn wao wanachukua kama 80% na inayobaki huwa
ya wapiga debe.
Nimekuwa ikisafiri na gari yangu nnapotaka kuchukua abiria ni lazima mpiga debe aingilie kati. Anakupangia nauli, yeye anakusanya
kutoka kwa abiria halafu anakata karibia Nusu! Inauma sana kwa kweli!!
Gari langu,
Mafuta yangu
Abiria nimewaona mwenyewe Barabarani,
Wamekuja kwa hiari yao,
Halafu wahuni fulani wananini nini sijui.. Ah!!
Nimekutana nayo hiyo Uyole Mbeya Na Ipogolo Iringa...Yaani unasimamisha gari yako mwenyew bila appointment na mpiga debe ,halafu anakuja mpga debe na sigara yake mkonon na kikombe cha kahawa kavaa mlegezo hataree anakuulza bro unaelekea wapi? Unamwambie huku abria wameanza kusogea halafu anawambia " leteni nauli hyo faster wenye halaka choma ndani wew mama njoo ukae huku mbele nipe kabsa nauli yako" Ina kera sana jamani. Pale Nzega njia panda