Serikali Imewekwa Mfukoni na Kampuni ya Multichoice!

yap inasikitisha ktk suala la kutoweka channel za apa nchini ni tbc1 tu ndio wameweka lakini zingine zilizobaki hazipo cjui kama wanasababu ya msingi lakini huu ndio ungekua mda muafaka kwa msemaji wao akaweka kinagaubaga!!! kuhusu suala la bei cwez laumu kwani ni soko huria labda na ni kwa vile channel wanazoonyesha pia ni za bei kubwa kama supersports nk

inasikitisha kwa kweli kwani inabidi sasa tuwe na vingamuzi viwili ili uweze pata na channel za apa nyumban
 
Soko huria baba kila mtu ana-target wateja wake. Ukiona kero uje huko sio kwako rudi kwako
 
Hii Abu Dhabi sports inaonekana kuwa a good option. Initial cost 800,000/- na annual rate $100. Options za namna hii ndio zinatakiwa kuwatia adabu Dstv. Wadau ioweka Abu Dhabi sports tupeni progress report.


Sent from my iPhone
 
Msilalamike kama hamtaki kusikiliza maelezo ya regulator. TCRA (serikali) wanamikataba ya kurusha matangazo ya digitali kwa njia ya ardhini kwa makampuni matatu tu (Star media, Zuku tv na Ting) na mikataba hiyo inazitaka kampuni hizo kuonyesha bure channel 4 za habari (tbc1, itv, star tv na channel 10) na channel moja ya burudani (EATV). Kampuni hizi zinashirikiana na serikali kujenga miundombinu ya kurusha matangazo kwa njia ya ardhini (terrestrial). tofauti na kampuni hizo kampuni zilizobaki zinawajibika zeenyewe kutengeneza miundo mbinu yao ya kurushia matangazo kama satellite (DSTV) na terrestrial kwa continental na nyinginezo. serikali haiwapangii channell gani waonyeshe wenye kampuni wasizo na mkataba nazo. Fuatilieni maelezo msikalie kununua bandwidth na kuanza kulalamika mitandaoni
 

Inavyoelekea inabidi uwe na ving'amuzi vitatu ili upate local tv zote. Nasikia king'amuzi kimoja hakina tv zote. Utakuta kimoja kinamis tv mbili au tatu.
 

Good point, dstv operates in a free market. Nobody forced you to buy dstv services! TCRA has licenced 3 operators for digital TV transmissions, Basic Transmitions Ltd, Starmedia T Ltd and Agape/Ting. Zuku is not one of them!
 
 
mkuu umwaona DSTV tu/ mbona wengi tu wako nje ya hizo channe?mimi natumia easy Tv ndo hayohayo yamenikuta. kuangalia channe l hizo mpaka nilipie 10000
 

Hivi Citizen kenya ni ya Serekali?
 
acha hizo bange ndg yangu, kama huna cha maana nyamaza tu,au jamaa amegusa maslahi ya baba yako?
 
Habari za kuaminika ni kwamba viongozi wengi wa nji hii wamefungiwa dstv bureeeeeeeeeee, hivyo itachukua muda hawa jamaa kuminywa wapunguze bei. Dawa yao ni kuendelea kuwaibia kwa kumtumia mchina. Mi naona channel zao kwa kutumia dongle za kichina aina ya hawk na 007, zilupotea wachina wamezirudisha hewani.
 
istoshe dstv hawalipi kodi pia... kama una bisha tizama risiti zao!
 
Hameni kwa nini mnakufa na tai shingoni mkijidai dstv ni hadhi wakati star times ya mchina bei yake poa kinoma.
 

Mbona alipokuja GTV walimuondoa kimtindo, si huria kama wanavyodai. Je, kuna supplier mwingine wa kuonesha barclays, la liga, Germany, seriel A
 
Mbona alipokuja GTV walimuondoa kimtindo, si huria kama wanavyodai. Je, kuna supplier mwingine wa kuonesha barclays, la liga, Germany, seriel A

Mimi navyoelewa mpaka sasa hivi biashara ya TV si huria kwa sababu ya mkataba kati ya serikali na Multichoice inayoipa kampuni hii exclusive right ya channel inazorusha Tanzania. Chini ya mkataba huo hakuna kampuni nyingine inaruhusiwa kurusha hizo channels
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…