Serikali imetoa tangazo la Ajira kada za afya

bashite kaya

Senior Member
Jan 15, 2018
129
225
Serikali imetoa tangazo la Ajira KADA ZA afya swali langu kwa wadau daraja la pili manake nini sijaelewa naomba anayejua ufafanuzi jamani .

=======

Ofisi ya Rais - TAMISEMI kwa kushirikiana na Taasisi ya Benjamin William Mkapa inapenda kuwatangazia wahitimu wa kada za afya nchini kuwasilisha maombi ya nafasi za kazi, kuanzia tarehe 20/01/2020 hadi tarehe 07/02/2020 ili kujaza nafasi mbalimbali za Kada ya Afya katika Hospitali za Wilaya, Vituo vya Afya na Zahanati.
IMG-20200120-WA0074.jpeg
1579580903985.png
1579580918331.png


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • File size
    265.4 KB
    Views
    0

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom