Serikali imetoa ajira na siyo Rais

Serikali imetoa ajira na siyo Rais

Ndusty

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2009
Posts
407
Reaction score
146
IMG_7208.jpg

Nashindwa na kuchoka kuelewa lengo la mleta taarifa.Lengo ni nini?
 
Nchi imeharibiwa kwa kweli,KATIBA mpya ni muhimu sana
 
Ameridhia maana ake alipelekewa ombi la tunahitaji watu kadhaa akapitisha
 
Kauli hizi za kidickiteta zilianza na kukuzwa na pimbi magufuri.

Na ndio kaharibu kila kitu.

Yule mtu ilikuwa laana na sijui uchawi yaani alifikaje ikulu?
 
Ila mimi kilichonishangaza ni kwamba anayetaka aombe.Kuna haja gani ya kufanya hivyo wakati waliomba tangu miaka mitatu huko nyuma application zao ziko kwenye kanzidata za TAMISEMI kwa nini wasichambue huko ili kuwaepusha wahitaji na gharama zisizo za lazima.Watakaowajibika kuomba ni waombaji wapya tu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Miaka 5 ilipita bila watu kuweka salary ( permanent Wages) kwenye Wallet.... Mama kaleta Neema... ila Wachawi ni wengi.. Wanaopata ajirA nao wanaungana na Wachawi.. hii nchi ni ngumu sanA... anaepata ajira kumbuka ana ndugu zaidi ya 50 wanamtegemeA....
 
Back
Top Bottom