Serikali imetoa ajira na siyo Rais

Serikali imetoa ajira na siyo Rais

Ila mimi kilichonishangaza ni kwamba anayetaka aombe.Kuna haja gani ya kufanya hivyo wakati waliomba tangu miaka mitatu huko nyuma application zao ziko kwenye kanzidata za TAMISEMI kwa nini wasichambue huko ili kuwaepusha wahitaji na gharama zisizo za lazima.Watakaowajibika kuomba ni waombaji wapya tu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
lengo lao ni kuvuruga na kuwatoa watu kwenye reli ya kujadili hizi skendo za ufisadi
 
Kauli hizi za kidickiteta zilianza na kukuzwa na pimbi magufuri.

Na ndio kaharibu kila kitu.

Yule mtu ilikuwa laana na sijui uchawi yaani alifikaje ikulu?
Sa kweli hata hili bado tumlaumu yeye miaka miwili hayupo? Hauoni unawadharirisha hao unaojaribu kuwatetea kuwa hata hili jambo dogo hivi wameshindwa kulidhibiti? Maana inahitaji kauli ya siku moja tu ya huyo anaesifiwa hivo kukataa sifa za hivyo na nyie wasifiaji mtaacha siku hiyo hiyo...

Haya ndiyo yale yale ya kusifiwa kuwa ametoa pesa kwa ajili ya hili na lile,alafu zikiliwa na Mwigulu akasema hizo zilizoliwa msifiwa ndiye aliyetoa kibali zitoke,mnakuja juu mnakuwa wakaliiiii

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom