Serikali imeshindwa kuendesha TANESCO

Serikali imeshindwa kuendesha TANESCO

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
765
Reaction score
490
Ikiwa kama mwananchi napendekeza serikali kulitoa shirika la Tanesco kwa wawekezaji sababu imeshindwa kusimamia upatikanaji wa umeme wa uhakika. Umeme kwetu unakatika si chini ya mara 8 kwa siku moja na zaidi mida ya usiku.

Yani nimekaa kwangu nimelipia kuunganiahiwa umeme na nimenunua umeme na bado nakosa umeme na bado serikali imekaa kimnya.

Kwanini mama anamuogopa sana January Makamba hawezi kumuwajibisha katika wizara yake kwa utendaji wake mbovu wa kazi?
 
Wewe humuogopi?
 
...bado nina imani na Tanesco, hali ikatokea ndio iwe hivyo, basi wawekezaji watoke Uganda, au Kenya.
 
na huku nilipo wamerudisha. umeme viongozi walipiga na mikataba huwez badili tuwe wapole tuu.
 
kama umeme una katika mara kwa mara si muwashe majenereta ?
 
mimi naishi mtwara masasi kwa siku moja umeme lazima ukatwe zaidi ya mara nane mfano mpira wa leo ilibidi nisikilize kwemye redio wakati ulikua unaoneshwa live, naongea na ww hapa umeme umezimwa tena
poleni sana nafikiri mvua zinachangia
 
Back
Top Bottom