Wapo busy kugawana posho Dodoma hayo ya wapiga kura maskini no body cares.Habar Wakuu,ivi serikali yetu husika inashindwaje kuajiri waalimu,yaani pamoja na kupewa taarifa za mapato either kutoka halimashauri
Katika pitapita zangu vijijini huko kwenye kula sikukuu nimekutana na habari ya kuwa Kuna waalimu wa sekondari na shule ya msingi wanalipwa na wazazi na sio kila mwezi
Hawa waalimu wemepachikwa tu kijanja janja ilimradi mkate wa siku waupate sasa sijui kama utendaji wao kazi ni wakiwango gani,
Serikari iajiri waalimu na kuwalipa ns sio wazazi wawalipe walimu
Wakae washindie ugali choroko !!Vijijini walimu hawaendi! Hata wakienda hawakai!
Unampeleka mtu kijijini nyumba ni za udongo hakuna hata umeme akafanye nini?Vijijini walimu hawaendi! Hata wakienda hawakai!
Suala la Ajira ni ishu ya uchumi regardless ya upungufu uliopo.Ajira zitatolewa pale tuu ambapo Uchumi utaruhisu.Habar Wakuu,ivi serikali yetu husika inashindwaje kuajiri waalimu,yaani pamoja na kupewa taarifa za mapato either kutoka halimashauri
Katika pitapita zangu vijijini huko kwenye kula sikukuu nimekutana na habari ya kuwa Kuna waalimu wa sekondari na shule ya msingi wanalipwa na wazazi na sio kila mwezi
Hawa waalimu wemepachikwa tu kijanja janja ilimradi mkate wa siku waupate sasa sijui kama utendaji wao kazi ni wakiwango gani,
Serikari iajiri waalimu na kuwalipa ns sio wazazi wawalipe walimu
Vijijini walimu hawaendi! Hata wakienda hawakai!
This time wataenda watake au wasitakeUnampeleka mtu kijijini nyumba ni za udongo hakuna hata umeme akafanye nini?