Serikali imepata ugonjwa mbaya

vip nasikia dom viwanja vimepanda bei dakika chache baada ya tamko
 
mpk sasa watumishi hawajaanzwa kulipwa mishahara mipya! sasa...najiuliza pesa za kuhamia Dodoma zimepatikana wapi?wakati huku watumishi hawajapata promosheni na mishahara mipyaa
Haya watumishi hewa nao vile vile bado duuuh!
uchumi wa viwanda nao bado!
Ila kipaumbele Dodoma!
 
Zoezi la kuhamia Dodoma limesitishwa kwa muda usiojulikana na mkuu wa mkoa huo ili kufanya maandalizi na utaratibu wa kueleweka
Hawa itabidi wasubiri au waahirishe yale matamko yao
Jenista Mhagama
Chizeba
Jeshi la polisi
Na wakurupukaji wengine
 
Huko tuendako ni kubaya...

Tusubiri matamko zaidi toka kwa wengine usishangae hata wakuu wa mikoa na wilaya nao wakatoa matamko ya kuhamia Dodoma [emoji12] [emoji12] [emoji12].

Kuna mengi ya muhimu ya kufanya kwa sasa acheni hizo

Hahahaha mkuu wa mkoa wa wapi atahamia dodoma?
 
mkuu huoni kama kuhamia ddoma kuna faida positive nyingi zaidi?...kwa mtazamo wangu hili nalo ni jukumu lililosubiri utekelezaji kwa muda mrefu sana,...hivyo huo sio uamuzi wa kukkrupuka,hofu ipo na wana-dsm wasio na plan B,C,n.k........kwa amuzi hili mh.Pombe hajabadili gia angani....its habit to hate things you cant counquer,...
 
Kaaazi kweli kweli
 
Sasa wanadarisalama wataathirika vp hapa?
 
Sasa wanadarisalama wataathirika vp hapa?
aisee!..anyway...sehemu kubwa ya wakazi wa dsm inategemea biashara,uwepo wa makao makuu ya serikali mahali pale una umuhimu mkubwa katika mzunguko wa fedha(rem.humo ndimo walipojishikiza most DSMnians)...any need of more explanations?..i think nah!..
 
Hapana naona kutakuwa na nafuu
 
Suala la kuhamia dodoma alijawai simama kila awamu ya urais imeliendeleza kwa namna moja au nyingine ofisi nyingi zimeishajengwa huko plus makazi ya viongozi wote yapo
 
Suala la kuhamia dodoma alijawai simama kila awamu ya urais imeliendeleza kwa namna moja au nyingine ofisi nyingi zimeishajengwa huko plus makazi ya viongozi wote yapo
Ingekuwa ni hoja yenye mashiko na faida kwa nchi ingeshafanyiwa kazi siku nyingi mno...lakini kwasasa ni kutaka kutafuta sifa bila kuangalia madhara yake kiuchumi kijamii na kitaifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…