Serikali imepata ugonjwa mbaya

Serikali imepata ugonjwa mbaya

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,541
Reaction score
830,098
Huko tuendako ni kubaya...

Walioweka mfumo wa utawala wa sheria na mgawanyo wa madaraka na majukumu walifanya hivyo kutokana na uzoefu na shida zilizopata kutokea
Nasikitika kusema kuwa tunachanja mbuga kuelekea vichakani na hatari ni kubwa kwakuwa vichaka vina mengi.

Sasa hivi hakuna mipango thabiti ya tulipo na tunakoelekea, akiongea tu Mkuu wa nchi serikali nzima inalipukia huko...tushukuru Mungu mpaka sasa hakuna matamko mabaya sana....lakini hatujui ya kesho...huwezi jua ataamka kesho aseme nini....!

Kwenye mkutano wa kukabidhiwa uenyekiti wa chama pale Dodoma mkuu aliweka nadhiri ya kuhamia Dodoma kabla ya kipindi chake cha kuongoza kwisha...bado ana miaka minne na miezi miwili.

Kilichofuatia ni matamko ya mlipuko toka kwa watendaji wake...waziri mkuu akasema atahamia Dodoma mwezi wa tisa, lakini jana waziri Chizeba (kilimo?)akasema yeye atahamia wiki jayo na magazeti yakalipuka na Chizeba ampiga bao waziri mkuu (sort of comedians).

Tusubiri matamko zaidi toka kwa wengine usishangae hata wakuu wa mikoa na wilaya nao wakatoa matamko ya kuhamia Dodoma .

Mkuu wenu kasema akishahamia Dodoma wengine watafuata..! Sasa haraka ya nini? Sifa au nidhamu ya woga? Kumbukeni kuhamisha wizara ni tofauti kabisa na kuhamisha familia..!

Kuna mengi ya muhimu ya kufanya kwa sasa acheni hizo
 
SEMA WEWE NJIWA ..WENGINE MABUNDI TUKISEMA TUTAAMBIWA TUNALETA UCHUROOO.......

INGEKUWA NI RAHISI KIVILE KUHAMIA DODOMA HATA NYERERE ANGELIISHA HAMIA ZAMANI SANA...ILA ALIPOKUWA AKIPIMA VIPAUMBELE ANAONA KUHAMIA DODOMA SIO LAZIMA NA MUHIMU KULIKO KUSOMESHA WATANZANIA NJE YA NCHI NA KULETA UJUZI NDANI KWETU KWA MAENDELEO YA TAIFA. AU SIO MUHIMU KULIKO KUWEKA MASHINE ZA CT SCAN NA MRI KWENYE KILA HOSPITAL YA WILAYA ILIYOPO TANZANIA.

HAPA HOJA YANGU IWE NI SIO KUHAMIA DODOMA...JE WAKATI TUNAHAMIA DODOMA MAHITAJI MAKUBWA NA YA MUHIMU KWA TAIFA YAMEKWISHA TEKELEZWA?
 
Huko tuendako ni kubaya....
Walioweka mfumo wa utawala wa sheria na mgawanyo wa madaraka na majukumu walifanya hivyo kutokana na uzoefu na shida zilizopata kutokea
Nasikitika kusema kuwa tunachanja mbuga kuelekea vichakani na hatari ni kubwa kwakuwa vichaka vina mengi
Sasa hivi hakuna mipango thabiti ya tulipo na tunakoelekea, akiongea tu Mkuu wa nchi serikali nzima inalipukia huko...tushukuru Mungu mpaka sasa hakuna matamko mabaya sana....lakini hatujui ya kesho...huwezi jua ataamka kesho aseme nini....!
Kwenye mkutano wa kukabidhiwa uenyekiti wa chama pale Dodoma mkuu aliweka nadhiri ya kuhamia Dodoma kabla ya kipindi chake cha kuongoza kwisha...bado ana miaka minne na miezi miwili
Kilichofuatia ni matamko ya mlipuko toka kwa watendaji wake...waziri mkuu akasema atahamia Dodoma mwezi wa tisa, lakini jana waziri Chizeba (kilimo?)akasema yeye atahamia wiki jayo na magazeti yakalipuka na Chizeba ampiga bao waziri mkuu (sort of comedians)
Tusubiri matamko zaidi toka kwa wengine usishangae hata wakuu wa mikoa na wilaya nao wakatoa matamko ya kuhamia Dodoma

Kwa hiyo nyie chadema hata hili la kuhamia Dodoma mnalipinga ??

Nakumbuka Mbowe na Lowasa wakati wakiomba kura Dodoma waliahidi serikali ya UKAWA itahamia Dodoma haraka Mara tu baada ya kuapishwa.
Je mlikuwa mnawadanganya watanzania??

Kwa unafiki wenu huu mnafaa kweli kuongoza hata mtaa??
 
Mkuu mshana Jr. tulia wenzako tumekula kiapo cha kutii mamlaka iliyotuteua, halafu unatushangaa sisi we huoni yanayojili polisi, wakuu wa mikoa, wilaya and everywhere. Kauli ya mkuu ni amli. Sasa unaweza kuhamishia shughuli zako za ushirikina na uganga Dodoma tunakuja na si unajua nafasi zetu hizi kupuliza lazima ili usitoke kichwani mwa mkulukulu. Haya mbele tembea twende Dodoma
 
Kama unamtaka mbowe wasiliana na Ben Saanane akuunganishe kwake, yaani ukilala na kuamka unamuwaza mbowe tu,
 
Kuhamia Dodoma si ugonjwa wala kwenda kichakani hata Kama watahamia Leo hakuna shida kwani wizara zote wana ofisi Dodoma kipindi kirefu na wanaweza kufanya kazi Kwa mtandao Kama bank zinavyofanya kazi, Malawi, Nigeria, India , Brazil nk walihamia miji mipya pasipo kukamilisha Kila kitu wakajiimarisha wakiwa huko huko na baadhi ya wizara na ofisi za balozi zipo miji ya zamani na maisha yameendelea , changamoto lazima ziwepo lakini lazima serikali wahamie Dodoma kulipisha jiji la Dar kujijenga Kwa kasi pia itasaidia kusambaza maendeleo mikoani .
 
Mkuu mshana Jr. tulia wenzako tumekula kiapo cha kutii mamlaka iliyotuteua, halafu unatushangaa sisi we huoni yanayojili polisi, wakuu wa mikoa, wilaya and everywhere. Kauli ya mkuu ni amli. Sasa unaweza kuhamishia shughuli zako za ushirikina na uganga Dodoma tunakuja na si unajua nafasi zetu hizi kupuliza lazima ili usitoke kichwani mwa mkulukulu. Haya mbele tembea twende Dodoma
 
SEMA WEWE NJIWA ..WENGINE MABUNDI TUKISEMA TUTAAMBIWA TUNALETA UCHUROOO.......

INGEKUWA NI RAHISI KIVILE KUHAMIA DODOMA HATA NYERERE ANGELIISHA HAMIA ZAMANI SANA...ILA ALIPOKUWA AKIPIMA VIPAUMBELE ANAONA KUHAMIA DODOMA SIO LAZIMA NA MUHIMU KULIKO KUSOMESHA WATANZANIA NJE YA NCHI NA KULETA UJUZI NDANI KWETU KWA MAENDELEO YA TAIFA. AU SIO MUHIMU KULIKO KUWEKA MASHINE ZA CT SCAN NA MRI KWENYE KILA HOSPITAL YA WILAYA ILIYOPO TANZANIA.

HAPA HOJA YANGU IWE NI SIO KUHAMIA DODOMA...JE WAKATI TUNAHAMIA DODOMA MAHITAJI MAKUBWA NA YA MUHIMU KWA TAIFA YAMEKWISHA TEKELEZWA?
Who cares..?
 
Kwa hiyo nyie chadema hata hili la kuhamia Dodoma mnalipinga ??

Nakumbuka Mbowe na Lowasa wakati wakiomba kura Dodoma waliahidi serikali ya UKAWA itahamia Dodoma haraka Mara tu baada ya kuapishwa.
Je mlikuwa mnawadanganya watanzania??

Kwa unafiki wenu huu mnafaa kweli kuongoza hata mtaa??
hawa ufipa niwakupuuza kabisa
 
Huko tuendako ni kubaya....
Walioweka mfumo wa utawala wa sheria na mgawanyo wa madaraka na majukumu walifanya hivyo kutokana na uzoefu na shida zilizopata kutokea
Nasikitika kusema kuwa tunachanja mbuga kuelekea vichakani na hatari ni kubwa kwakuwa vichaka vina mengi
Sasa hivi hakuna mipango thabiti ya tulipo na tunakoelekea, akiongea tu Mkuu wa nchi serikali nzima inalipukia huko...tushukuru Mungu mpaka sasa hakuna matamko mabaya sana....lakini hatujui ya kesho...huwezi jua ataamka kesho aseme nini....!
Kwenye mkutano wa kukabidhiwa uenyekiti wa chama pale Dodoma mkuu aliweka nadhiri ya kuhamia Dodoma kabla ya kipindi chake cha kuongoza kwisha...bado ana miaka minne na miezi miwili
Kilichofuatia ni matamko ya mlipuko toka kwa watendaji wake...waziri mkuu akasema atahamia Dodoma mwezi wa tisa, lakini jana waziri Chizeba (kilimo?)akasema yeye atahamia wiki jayo na magazeti yakalipuka na Chizeba ampiga bao waziri mkuu (sort of comedians)
Tusubiri matamko zaidi toka kwa wengine usishangae hata wakuu wa mikoa na wilaya nao wakatoa matamko ya kuhamia Dodoma
Mkuu wenu kasema akishahamia Dodoma wengine watafuata..! Sasa haraka ya nini? Sifa au nidhamu ya woga? Kumbukeni kuhamisha wizara ni tofauti kabisa na kuhamisha familia..!
Kuna mengi ya muhimu ya kufanya kwa sasa acheni hizo
Kwani kuna kosa gani mtu akihamua kutangulia?
 
Back
Top Bottom