Ili kuweza kulipa mishahara ya July, serkali imebidi ikope NMB. Wafanyakazi wengi mpaka leo hii bado kulipwa. Je ni dalili kuwa imefilisika? Mwigulu funguka!
inaonekana hampigi kura!! hivi IDD ilikuwa lini? maana tangu tunaikosakosa idd, tayari tushapewa vyetu. na tulishuhudia foleni never happened b4.
kama hujapata jichunguze mwenyewe kama ni mfanyakazi maana wanaendelea na data cleaning. cheti kimoja hakitolipa watumishi wawili. mmoja atapata mwingine atakosa.
Ili kuweza kulipa mishahara ya July, serkali imebidi ikope NMB. Wafanyakazi wengi mpaka leo hii bado kulipwa. Je ni dalili kuwa imefilisika? Mwigulu funguka!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.