jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,590 Reaction score 43,675 Feb 13, 2022 #61 TheNewGuy said: - Pathetic! Mwalimu anaweza kufundisha vyumba viwili vya darasa kwa wakati mmoja? - Kufundisha somo zaidi ya moja hakumfanyi mwalimu afundishe madarasa tofauti kwa wakati mmoja. Click to expand... Kwahiyo unataka kila mwalimu awe na somo moja..?kitu ambacho ni ngumu kwa nchi hii...au umesahau Ndugai aliwahi kusema mwalimu mmoja afundishe masomo hata matano. #MaendeleoHayanaChama
TheNewGuy said: - Pathetic! Mwalimu anaweza kufundisha vyumba viwili vya darasa kwa wakati mmoja? - Kufundisha somo zaidi ya moja hakumfanyi mwalimu afundishe madarasa tofauti kwa wakati mmoja. Click to expand... Kwahiyo unataka kila mwalimu awe na somo moja..?kitu ambacho ni ngumu kwa nchi hii...au umesahau Ndugai aliwahi kusema mwalimu mmoja afundishe masomo hata matano. #MaendeleoHayanaChama