Serikali imefilisika?

So?
 
Lengo la serikali kuajiri ni kuondoa tatizo la upungufu wa watumishi na siyo kuhakikisha wahitimu wote wanapata kazi.

Wahitimu watumie elimu na maarifa waliyoyapata ktk masomo yao kujiajiri
Na wanasiasa wasikabe Hadi kufikia hatua kupora uchaguzi ili wabaki na nafasi zao nao wajiajiri
 
Mama anaupiga mwingi[emoji1]
 
Kuna chawa wa mama ndo huwa wanasifia hivyo vitu kwa nguvu,sasa waulize walete majibu nini kilitokea kutoka elfu kumi na kuomba elfu saba.
Wengune tunasubili mzunguko wa fedha ili tuendelee kufanya biashara kama zamani.
JK alikuwa anaajiri Hadi 42,000
 
Ndo nini [emoji1]
 
Halafu jiulize mwaka huu ushalipa kodi kias gan? Maana usiongelee serikali kufiliska tu kama vile kuna hela inatoka sayar nyingine
Last year nimelpia Koda 4,320,000
 
Ugumu kuendesha nchi, Ila kuchoma hela kwa kesi za kijinga ni sawa?
 
Vyuo vinamwaga hatari,,,na serikali inachukua wa science Arts wapambane na Hali yao
 
Tulia we Mwalimu wa UPE
 

Laana ya Uvamizi wa Zanzibar Na mauwaji ya watu kwa maelfu Na kuendelea kuuwa kila baada miaka mitano ,itaendelea kuwatafuna mpaka mtapoiachia Na kuomba radhi. Vyenginevyo mtateseka zaidy kila siku zikienda vizazi Na vizazi
 
- Pathetic! Mwalimu anaweza kufundisha vyumba viwili vya darasa kwa wakati mmoja?

- Kufundisha somo zaidi ya moja hakumfanyi mwalimu afundishe madarasa tofauti kwa wakati mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…