Inakera sanaDk 1 uzi mwingine.
Nimeshapokea wa kwangu karibu unakwishaMishahara imechelewa kutoka, June 2024,watumishi wa Umma wana maisha magumu sana
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Hili ni tatizo na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Mdau kwani mshahara huwa mnalipwa Tarehe ngapi?Mishahara imechelewa kutoka, June 2024,watumishi wa Umma wana maisha magumu sana
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Hili ni tatizo na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Wafanyabiashara wamegoma.Mishahara imechelewa kutoka, June 2024,watumishi wa Umma wana maisha magumu sana
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Hili ni tatizo na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Kwenye app Ni freeTunakusanya kwanza hela za kuangalizia salio kwenye akaunti zenu, zimekaribia bilioni kumi kwa benki zote
Mkuu umevurugwa leo ni tarehe 24.06.2024.Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Nimeshaangalia Salio kama mara 500, mpaka Salio lote kwishneTunakusanya kwanza hela za kuangalizia salio kwenye akaunti zenu, zimekaribia bilioni kumi kwa benki zote
Wanakata crdbKwenye app Ni free