Ni kweli kwamba serikali ime fulia au hela zinaliwa na wachache?
Mbona hatuja sikia JK akiahirisha safari kwa kuwa hakuna hela?
UDSM kuna tangazo kuubwa kwamba hela za mkopo kwa wanafunzi hazija
patikana,...na jana DUCE wametoa tangazo kwamba mishahara kushney......
tutafika?
kaaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Kweli kweli.
Kwani hamna habari kuwa Tanzania imetangazwa kuwa imo katika BLACKLIST???
Huu ni mwanzo tu, yaani moshi ndio kwanza unatoka. Subirini moto uonekane ndipo sisi bado tupo katika nchi yenye Amani na Utulivu kwa nidhamu za uwoga.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Mkuu huoni tatizo?Mbona sababu ya kuchelewa imetolewa? cha kujiuliza tena hapo ni nini? yaani kuchelewa kwa hundi toka wizara ya fedha ndiyo kumaanisha kwamba serikali imefulia?
Mbona sababu ya kuchelewa imetolewa? cha kujiuliza tena hapo ni nini? yaani kuchelewa kwa hundi toka wizara ya fedha ndiyo kumaanisha kwamba serikali imefulia?
Hostility measures coming soon. Wafanyakazi wote serikalini kupunguzwa mishahara 20%, wafanyakazi serkalini kupunguzwa 25%. Wanafunzi vyuo vikuu hakuna mikopo.
KIDUMU CHAMA CHA MAJAMBAZI!!!!!! Mtaipona mpaka 2015