Serikali ilivyoimarisha huduza za afya

Serikali ilivyoimarisha huduza za afya

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
291
Reaction score
281
Miongoni mwa sababu za kuongezeka umri wa kuishi kwa Mtanzania kutoka miaka 67 na miezi mitatu mwaka huu hadi miaka 74 ifikapo mwaka 2035 ni uboreshwaji wa huduma za afya.

Serikali inahakikisha vituo vya afya vinajengwa karibu na makazi ya watu, miundombinu ya kufika hospitali ipo vizuri kama barabara, uwepo wa vifaa tiba na wataalamu.
 
Tangu lini? Tangu nizaliwe sijawahi ona misiba kama mwezi huu. Nimetoa michango ya misiba kama nalipa kodi. .
Maviiiii♣️♣️♣️♣️♣️
 
Back
Top Bottom