Serikali ilimpenda, ilimchukia au ilimuogopa Reginald Mengi?

Serikali ilimpenda, ilimchukia au ilimuogopa Reginald Mengi?

USA au Japan au kokote ni kampuni za watu binafsi zilizoanzishwa na wazawa ndiyo zinaendesha uchumi. GE, Exxon Mobil,Walmart, Toyota, Nissan , Mitsubishi etc
Mzee Mengi alitamani Ipp ichangie maendeleo ya kiuchumi Tanzania
 
Sawa sawa tuendelee kutumia hivyo vitabu vya fiction maana si tunataka kua na jamii kubwa ya walimu wa arts huko mbeleni(application za kazi za ualimu mwaka huu ni 90,000 walioitwa kazini 4,000).

Tuendeleze ile elimu yetu ya hapa na pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,
1. Kusoma vitabu vya fiction ni kwa ajili ya kusaidia watoto kukuza uwezo wao wa mambo ya dhahania na kukuza lugha among others. Si kufanya wawe walimu wa arts.

2. Jamii lazima iwe balanced. Hatuwezi kuwa na jamii ya wafanyabishara tuuu, au watu wa STEM tu.. lazima wa sanaa pia wawepo ili maisha yawe matamu.
 
Lakini si Profess wa miamba alishasema kuwa wabongo tunaweza biashara ya juisi tu na ile kubwakubwa ni kwa wakuja.
 
Serikali ya makanikia haina mwema hata uifanyie nini si ajabu wamehusika .
 
Back
Top Bottom