mgombea uvccm2017
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 505
- 376
Naomba kufahamishwa jaman maana mpaka sasa sielewi upatikanaji wa hawa wanachuo
Nimesikia ni vijana waliofaulu kuanzia div 1-3 ndiyo wamepelekwa kwemye huo mpango wa elimu kupata walimu wa sayansi.
Kama ndivyo ina maana serikali imelazimisha watu kuwa walimu?
Labda kati yao kuna waliokuwa na ndoto za kuja kjwa wahandisi,madaktari na ma engeneer? Iweje mtu kafaulu badala ya kumpeleka kidato cha tano ili chuo kikuu akasomee anachotaka umpeleke ualimu?
Kwanini wasingetangaza program hiyo ni kwa wale wanaotaka pekee?
Labda me ndo sijelaielewa hiyo program nisaidieni